Rais Jakaya Kikwete leo amekutana na ujumbe a uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam na kuzungumza nao juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makama Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis
Walikwenda kujipendekeza nini wakati walipitisha muswada kwa 100% au na wao walikwenda kunywa juice yenye kuumua mwili? Baada ya miaka mitatu lazima juice ile itatoa jibu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.