CUF na SIASA SAFI


matusi is not gonna help either,chanzo cha mapato ya kutoa elimu na afya bure tofauti na kuja kutukamua sisi wapiga kura ni kipi?
 
kaka alaska sio nchi. lipumba ni chizi sasa wewe dola 100 itakupeleka wapi?
 

hamnazo kichwani wewe lipumba hatafuti umaarufu tayari maarufu naa angalia maneno unayotamka lipumba hajawashi waislam wasijiandikishe kuwa makini na post zako zinaonekana hazina shule umbumbu umekutawala
 

Hata mahakamani mke haruhusiwi kuwa shaidi wa mumewe kwani wanaaminika kuwa ni mwili mmoja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kaka alaska sio nchi. lipumba ni chizi sasa wewe dola 100 itakupeleka wapi?

uchadema umewapumbaza kiasi unashindwa hata kupambanua mtu wa kipato cha chini ama sikini anapa wastani ya chini dola moja kwa siku mara 30 days ni takriba dola 30 pato la mtz wa sasa lipumba kwa hesabu mtz atapa dola 100 toka dola 30. Acheni ujuha
 
kaka alaska sio nchi. lipumba ni chizi sasa wewe dola 100 itakupeleka wapi?

uchadema umewapumbaza kiasi unashindwa hata kupambanua mtu wa kipato cha chini ama sikini anapa wastani ya chini dola moja kwa siku mara 30 days ni takriba dola 30 pato la mtz wa sasa lipumba kwa hesabu mtz atapa dola 100 toka dola 30. Acheni ujuha.
 

BRAVO MR. U'VE MADE IT...!!
Ni wale tu wanaotumia makalio yao kufikiri na si vichwa vyao ndio wanaoweza kupinga hili...! Tuendelee kuwafahamisha maana hawajui walisimamialo.
 
Kim ni Kim kweli kama yule OG. Vyanzo vya mapato viko vingi sana kodi tunazolipa ni pesa nyingi mno ila zinaliwa na wachache ukiwemo wewe wa Kim
 
Kim ni Kim kweli kama yule OG. Vyanzo vya mapato viko vingi sana kodi tunazolipa ni pesa nyingi mno ila zinaliwa na wachache ukiwemo wewe wa Kim

sasa slaa anaogopa nini kusema atatoza kodi nyingi ili apate pesa za kutupatia matibabu na elimu ambayo kiukweli tutakua tunayalipia kwa njia ya kodi tuliyokamuliwa na serikali yake,hakuna kitu cha bure hata marekani na ulaya ambao ni matajiri kuliko sisi hawatoi huduma yeyote ya kijamii bure,labda marehemu ghadafi na waarabu wenzake wengine ndio waliweza kuthubutu
 
na bahati mbaya ananyonyoka mpaka nywele siku hizi.
 
Na kusema cuf ni chama cha waislam je?
utakwendaje kwenye mkutano wa siasa na kanzu,barghashia,baibui na mavazi ambayo kimsingi watanzania wameaminushwa kwamba ni ya kiislam wakati unajua kabisa wazee wa propaganda wapo kwa ajili ya kukuharibia.vipi uwalaumu cdm wakati ishu ya udini ilitumika sana na ccm kuivuruga cuf.na leo unaungana na ccm tena kusema cdm ni chama cha kidini.nijuavyo mimi elimu haiongezi busara na ndio maana wengi wetu humu tunashiriki kuwaua wenzetu kwa maradhi yaliyotuua sisi ama kwa hakika watz ni wasahaulifu naamini ni kwa makusudi.akili ikichanganywa na imani huzaa ujinga na ndio sababu mtu azidiwae na imani haogopi hata kuua mwanae kwa vigezo vya imani husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…