Anaetumia pesa za walipa kodi kumlipa yaya, wa hawara (mke wa mtu) aliyezaa nae nje ya ndoa, perdiem zaidi ya laki kwa siku na kumchukulia hoteli ya zaidi ya laki kwa siku leo anaweza kupanda jukwaani kuyasema hayo, tena bila ushahidi? kweli wajinga ndio waliwao.
TUNTEMEKE yuko wapi?

Dk. Slaa ametoboa siri ya namna CUF ilivyoamua kuwa sehemu ya ufisadi kwa kodi za watanzania, baada ya kufichua barua mbili ambazo Seif aliomba fedha kwa ajili ya kuhudumia chama na safari za kifamilia za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.
Alisema barua ya kwanza ya Katibu Mkuu wa CUF Maalimu Seif kwenda serikalini inaomba kuwezeshwa kufanyika kwa mkutano wao wa chama kwa siku tatu katika eneo la Bagamoyo kwa gharama za sh milioni 34.
Dk. Slaa alisema barua ya pili ni ile inayoomba dola za Kimarekani 10,000 kwa ajili ya nauli ya kwenda Nairobi Kenya kwa mke wa Maalim Seif kwa safari ya kifamilia, ikiwa ni sawa na dola 1,000 kwa siku.
Tena hao CUF ndiyo watajizika wazima wazima pindi bwana wao nyinyiemu atakapopigwa chini na nguvu ya umma. It is just a matter of time.[/QUOTE
]WACHENI KUMSEMA MKE WA MTU NYIE ANA MIMBA SASA HIVI SUBIRINI HATA AZAE LOL BHIKOLA UNA MATATIZO.
Sasa ndo nazidi kuamini kua chadema mpinzani wake ni Cuf sio ccm ya sabodo... lol! Slaa kachanganyikiwa na Tandahimba,kashangaa kuona bendera za Cuf kila pembe, ajabu ametumwa na ccm wakaziharibu ngome za Cuf,bahati mbaya anakutana na watu wanaojua mchele upi na pumba zipi,ndio maana kachanganyikiwa,na vile vile yale mapokezi ya Pr Lipumba yamemchanganya.. Hongera chadema kwa operation yenu ya UA CUF..Natabiri kwa hali hii vifo vya Chadema na ccm vinakaribia...
|
Maalim Seif hana tofauti na Mbowe, Seif anatumia fedha za serikali kupitia cheo chake cha umakamu Zanzibar na Mbowe anatumia kwa cheo chake cha KOB. Ngoma droo wote wachumia tumbo.
KUB..Kwani tatizo ni nini wakat wananchi wa hai walimpeleka??? una wivu wakike!!
Sasa ndo nazidi kuamini kua chadema mpinzani wake ni Cuf sio ccm ya sabodo... lol! Slaa kachanganyikiwa na Tandahimba,kashangaa kuona bendera za Cuf kila pembe, ajabu ametumwa na ccm wakaziharibu ngome za Cuf,bahati mbaya anakutana na watu wanaojua mchele upi na pumba zipi,ndio maana kachanganyikiwa,na vile vile yale mapokezi ya Pr Lipumba yamemchanganya.. Hongera chadema kwa operation yenu ya UA CUF..Natabiri kwa hali hii vifo vya Chadema na ccm vinakaribia...
CUF inakufa kijinga sana utaombaje fedha toka serikali ya CCM kufanyia mkutano wa chama, hayo ni matusi makubwa kwa chama kubwa kama CUF ndio maana kwa sasa wameamua kukaa mkao wa kiwana mwali hawawezi kukemea serikali kwenye maovu kama walivyokuwa wanafanya enzi za NgangariSasa ndo nazidi kuamini kua chadema mpinzani wake ni Cuf sio ccm ya sabodo... lol! Slaa kachanganyikiwa na Tandahimba,kashangaa kuona bendera za Cuf kila pembe, ajabu ametumwa na ccm wakaziharibu ngome za Cuf,bahati mbaya anakutana na watu wanaojua mchele upi na pumba zipi,ndio maana kachanganyikiwa,na vile vile yale mapokezi ya Pr Lipumba yamemchanganya.. Hongera chadema kwa operation yenu ya UA CUF..Natabiri kwa hali hii vifo vya Chadema na ccm vinakaribia...
huo msitari wa mwisho nimeupenda!uko juuHeshima mbele wana jamvi wenzangu,
Dk. Slaa ametoboa siri ya namna CUF ilivyoamua kuwa sehemu ya ufisadi kwa kodi za watanzania, baada ya kufichua barua mbili ambazo Seif aliomba fedha kwa ajili ya kuhudumia chama na safari za kifamilia za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.
Alisema barua ya kwanza ya Katibu Mkuu wa CUF Maalimu Seif kwenda serikalini inaomba kuwezeshwa kufanyika kwa mkutano wao wa chama kwa siku tatu katika eneo la Bagamoyo kwa gharama za sh milioni 34.
Dk. Slaa alisema barua ya pili ni ile inayoomba dola za Kimarekani 10,000 kwa ajili ya nauli ya kwenda Nairobi Kenya kwa mke wa Maalim Seif kwa safari ya kifamilia, ikiwa ni sawa na dola 1,000 kwa siku.
Aidha Dk. Slaa alisema katika taarifa hiyo inaonyesha pia kuna fedha za dharura kwa ajili ya matumizi ya Makamu wa Rais ambayo ni dola 3000 na kudai kuwa huo ni ufisadi usioweza kuvumiliwa na wapenda haki.
Alisema kwa mfumo huo wa CUF kutegemea hata katika mikutano yake ya chama fedha za serikali, ni ushahidi wa waziwazi kuwa inafanya kila kitu kwa kuongozwa na serikali ya CCM.
Jamani huu ni wizi wa waziwazi, na ndo maana CUF nayo inakufa, CDM tukaze buti tuondoe ufisadi na ujinga wa kutumia hovyo rasilimali ya nchi kwa private and personal issues, maana kesho tutasikia wanaomba posho za bibi, mjomba, na kufanikisha harusi ya mdogo wake rafiki wa bibi mzaa shangazi kwa mke mdogo wa babu aliyeko omani
Source: Mkutano wa CDM tandahimba