geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
Wewe bwa'mdogo nadhani wewe bado kinda kwenye maswala ya siasa za hapa tz! Ulishawahi kusikia Mbowe amekanusha suala la 10bn? Nakupa siku nzima ya kutafakari.. Usikurupuke kujibu hilo swali..
Atajibu kila upuuzi hata wa manafiki yanayoeleweka na ambayo wala sio wanachama wa ukawa huo muda mchafu atautoa wapi? Kazi nyingine za maendeleo ya chama azifanye saa ngapi?