Katika vikao vya UKAWA vya kugawana kata za manispaa ya morogoro viongozi CUF wamelazimisha wapewe kata nyingi wakati hawana uwezo wa kusimamisha wagombea katika kata hizo.
Matokeo yake wanawatafuta wagombea wa vyama vingine watoe pesa ili wawaachie kata hizo.
Mchezo huu utaigharimu UKAWA ,na kuna uwezekano mkubwa CCM wakapita bila kupingwa katika kata hizo.
Sakaya na Mnyika chukueni hatua za haraka kunusuru Hali hiyo katika kata hizo kwa kuruhusu chama kingine kuchukua fomu kama tahadhari.
Mkipuuzia hili imekula kwenu.