CUF: Lolote liwalo Igunga..!

CUF: Lolote liwalo Igunga..!

Wacheni ushabiki wa vyama,CUF inakubalika sana igunga,viongozi wakuu wa cuf na chadema wakae wakubaliane kua wapinzani wamwachie cuf pekee hapo uhakika upinzani utashinda,ila kama nitamaa zafisi nimia kwamia ccm watashinda, kumbukeni ya tarime kura za ccm walizoshinda ubunge nikidogo kuliko za cuf na chadema,inamana wapinzani wangeweka mgombea 1 tarime wangeshinda.na igunga yatawakuta kama ya tarime.

We si ndo ulizigawa kura za Tarime. Nenda kagawe na za Igunga afu uone kama chadema haitashinda.
Hapo penye nyekundu: Nilikuwa sijui kuwa Rostam alishinda kupitia cuf, nashukuru kwa kunielimisha!

Haya manmbo ya maji taka hamjayaacha!!! Tumekuwa tunapiga vita udini, nyinyi ndo kwanzan mmeyaanza!

Sitaki kujua nani alianza lakini nawashauri hili litatufikisha pabaya!!! Siasa za maji taka hazifai...na ni mwanzo wa kufa kisiasa ukianza kucha nganya dini na siasa!!

WADAU KUNA HAJA YA KUANDIKA TAARIFA ZA KWELI NIMESOMA GEZETI MDA SI MREFU,Tendwa alisema:"Nimesikia kuwa kunaoparasheni tatu katika jimbo hili ambazo ni Okoa igunga,inayotolwa na ccm na chadema wanaoparesheni inayoitwa Chukua igunga,na naambiwa sina uhakika CUF inaoparesheni inayoitwa Lolote liwalo".SOURCE NIPASHE AGOST 11,2011,PG 8.HILO NI JINA LA TENDWA ILA CUF BADO HAWAJA NA JINA.

Nimeshtuka sana baada ya kuona habari tbc1 kuhusu harakati za vyama vya siasa kupoka jimbo la igunga kwenye uchaguzi mdogo ujao. CcM wanaita OPERESHENI TETEA IGUNGA, wakati Chadema ni OPERATION CHUKUA IGUNGA..cuf ndio wamewapoteza wote wenyewe wanaita OPERATION LOLOTE LIWALO IGUNGA..! ina maana cuf hawana cha kupoteza igunga?

WADAU KUNA HAJA YA KUANDIKA TAARIFA ZA KWELI NIMESOMA GEZETI MDA SI MREFU,Tendwa alisema:"Nimesikia kuwa kunaoparasheni tatu katika jimbo hili ambazo ni Okoa igunga,inayotolwa na ccm na chadema wanaoparesheni inayoitwa Chukua igunga,na naambiwa sina uhakika CUF inaoparesheni inayoitwa Lolote liwalo".SOURCE NIPASHE AGOST 11,2011,PG 8.HILO NI JINA LA TENDWA ILA CUF BADO HAWAJA NA JINA.

We si ndo ulizigawa kura za Tarime. Nenda kagawe na za Igunga afu uone kama chadema haitashinda.
Hapo penye nyekundu: Nilikuwa sijui kuwa Rostam alishinda kupitia cuf, nashukuru kwa kunielimisha!
Vyama vyote ni sawa machoni pa wapiga kura. Kama CCM itapata nyingi zaidi ya CDM na CUF, kwa nini wasichukue Jimbo. Udhaifu wa chama usitufanye tupoteze mwelekeo bali ni changamoto ya kujipanga kwa baadaye.

Watapambana na cdm tu coz ccm na cuf ni mikono tu wa kulia na kushoto ila mwili ni mmoja.

Tatizo la Chadema ni over confidence ndio maana wana maamuzi ya pupa.

Nimeshtuka sana baada ya kuona habari tbc1 kuhusu harakati za vyama vya siasa kupoka jimbo la igunga kwenye uchaguzi mdogo ujao. CcM wanaita OPERESHENI TETEA IGUNGA, wakati Chadema ni OPERATION CHUKUA IGUNGA..cuf ndio wamewapoteza wote wenyewe wanaita OPERATION LOLOTE LIWALO IGUNGA..! ina maana cuf hawana cha kupoteza igunga?

Tumesikitishwa sana na propaganda hizi zinazoendeshwa na vyombo vya habari juu yetu.

Mimi naitwa mohammed mtutuma , msaidizi maalum wa naibu katibu CUF tanzania bara.

Kwa niaba ya mhe. Mtatiro naomba kueleza kwa uwazi kuwa hizo oparesheni zinazotangazwa ni za kutengenezwa,
Cuf haijatangaza oparesheni yoyote igunga au mahali kokote kule.

Oparesheni ya mwisho kutangazwa na cuf ni zinduka, hiyo oparesheni bora liende, au bora liwe au vyovyote vile inavyosema na za kutengenezwa tu.

Siku zote tumekuwa tukilalamika kuwa vyombo vya habari vinatuhujumu na kuna watu muhimu katika jamii wanatuhujumu na kila wakati kutaka tueleweke hasi kwa jamii.

Nasisitiza kuwa cuf haijazindua oparesheni yoyote igunga, siyo linda igunga , chagua igunga, tetea ingunga, kotekote igunga n.k.

Tunaomba wapenzi na wafuasi wetu na wananchi wote wapuuze propaganda hizi.

Cuf imejipanga kushinda uchaguzi wa igunga na kama tukizindua oparesheni itakuwa OPARESHENI CHAGUA MAHONA AONGOZE IGUNGA,

We have a strong party network in igunga, we have stable leaders in there, we have the best candidate of all parties. We have no reason not to win this seat.

MHD MTUTUMA,
MSAIDIZI MAALUM WA NKM-BARA,
CHAMA CHA WANANCHI CUF.

asante mkuu kwakutuweka wazi nakufafanua,wengi tayari walikua wamepotoshwa,cuf kuweni makini mna maadui wengi magamba na magwanda pia,wote wanatumia vyombo vya habari kuwachafua.

tumekuelewa mtutuma, hiyo ni kWeli kabisa kuna waandishi wanatumia kalamu yao kutaka kudhoofisha nguvu za cuf lakini tuwaambie kabisa kama hawataweza watakacho ambulia ni aibu, chama kipo ndani ya mioyo yetu, utakufa wewe cuf utaiacha, hatutaiacha cuf mpaka tumeifikisha ikulu ya znz na kivukoni hilo sio siri.

kweli CUF akili hasifanyi kazi hawana uchungu na nchi lolote na liwe

Nimeshtuka sana baada ya kuona habari tbc1 kuhusu harakati za vyama vya siasa kupoka jimbo la igunga kwenye uchaguzi mdogo ujao. CcM wanaita OPERESHENI TETEA IGUNGA, wakati Chadema ni OPERATION CHUKUA IGUNGA..cuf ndio wamewapoteza wote wenyewe wanaita OPERATION LOLOTE LIWALO IGUNGA..! ina maana cuf hawana cha kupoteza igunga?

Hawana operesheni yoyote. kwanza hawatagombea huko wanapenda kugombea sehemu za pwani ya bahari ya hindi.

Back
Top Bottom