mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 935
Nimeshtuka sana baada ya kuona habari tbc1 kuhusu harakati za vyama vya siasa kupoka jimbo la igunga kwenye uchaguzi mdogo ujao. CcM wanaita OPERESHENI TETEA IGUNGA, wakati Chadema ni OPERATION CHUKUA IGUNGA..cuf ndio wamewapoteza wote wenyewe wanaita OPERATION LOLOTE LIWALO IGUNGA..! ina maana cuf hawana cha kupoteza igunga?