CUF: Kwanini vyombo vya habari havitupi fursa sawa?

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
KWA NINI VYOMBO VYA HABARI HAVITUPI FURSA SAWA?!

Miaka ya nyuma chama chetu kilikuwa na sera ya chini kwa chini iliyokuwa inaitwa 'HATUKUBALI KUMEZWA MARA YA PILI'

Baadhi ya ndugu zetu kutoka Zanzibar ambao kwa kiasi kikubwa ndio waliokuwa na madaraka makubwa ndani ya chama, walikuwa na hofu kubwa juu ya kuimarika kwa chama cha CUF huku Tanzania bara.

Kiini cha hofu yao kilikuwa endapo CUF itaimarika Tanzania bara basi watamezwa na kupoteza mamlaka yao ndani ya chama. Kupotea kwa mamlaka yao ndani ya chama kungewanyima fursa ya kuendesha agenda ya upinzani Zanzibar.

Ni kwa nini sera hii ikasema 'hatukubali kumezwa mara ya pili'?

Mara ya kwanza ilikuwa ni lini?!

Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1977 pale vyama vya TANU na AFROSHIRAZ vilipoungana.

Kabla ya huo muungano chama cha AFROSHIRAZ kilichokuwa kinatawala Zanzibar kilikuwa na nguvu na chenye kauli inayoheshimika. Muungano wa vyama uliwageuza makada wengi wa chama hicho kuwa vibaraka wa Dodoma. Hali hii iliwakwaza sana makada waliokuwa na ndoto ya siku moja kujivua katika gamba la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Moja ya vitu vinavyosaidia sana kumjengea mtu, kitu au taasisi umaarufu wa haraka ni media.

Ili kuzuia umaarufu wa CUF moja ya mikakati ya lile kundi la ndugu zetu wa Zanzibar ilikuwa ni kukiweka chama mbali na vyombo vya habari.

Media ya Tanzania inajulikana inavyofanya kazi.

Sehemu kubwa ya waandishi hawajaajiriwa. Wanaishi kwa bakhshish wanazopewa kule wanakoenda kuchukua habari. Usipowapa chochote aghalabu habari yako haifiki kwenye dawati la mhariri.

Kwa upande wa pili mishahara ya wahariri huwa haiwatoshi. Ili kujazia wahariri wengi wanalipwa na wale wanaotaka habari zao zitoke.

CUF chini ya Maalim ilikuwa na allergy na kutoa chochote kuwawezesha wana habari. Kuwawezesha ilikuwa ni kuisaidia CUF bara isimame; na kusimama kwa CUF bara ilikuwa ni kumchimbia yeye na genge lake kaburi la kisiasa kwenye siasa za Kitaifa.

Hawa jamaa walikuwa waoga kiasi kwamba hata vile vyombo vya habari vilivyojipendekeza kwao bila kuhitaji chochote walivipiga vita pia. Mwaka 2000 mimi na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunaendesha gazeti la kila wiki lililokuwa linaitwa WAKATI. Bila ya shaka waliokuwa wanafuatilia siasa miaka ile watalikumbuka. Lile gazeti lilijitoa muhanga kuifanyia CUF kampeni. Baada ya uchaguzi tuliuomba uongozi wa CUF ulichukue kwa sababu hatukuwa tena na uwezo wa kifedha wa kuliendesha. Uongozi wa CUF haukukataa au kukubali. Tuliishia kupigwa chenga na danadana hadi tukakata tamaa.

Nakumbuka mwaka 2007 baada ya kuona chama kimepotea kabisa kwenye habari za kukijenga, nilikusanya kikosi cha wanahabari 30 kutoka vyombo mbalimbali vya Habari na kuwaomba kufanya kazi na sisi.

Nilimpa Juma Duni taarifa kwamba kulikuwa na kikosi cha wanahabari ambao wangefika pale Buguruni siku ya Jumamosi fulani kwa ajili ya kufanya mazungumzo na kubadilishana fikra ni jinsi gani wanaweza kukisaidia chama. Nilimwambia aandae japo shilingi 10,000/= za nauli kwa kila mmoja, tukakubaliana.

Siku ya tukio waandishi walifika na mjadala mzuri ukafanyika. Siku hiyo nilikuwa nimefiwa kwa hiyo sikuhudhuria.

Majira ya saa 10.00 hivi jioni niliyemuweka kama kiongozi wa hao wanahabari alinipigia simu na kuniambia kuwa mambo yalikuwa yameharibika. Nilipomuuliza kulikoni aliniambia kuwa mwisho wa kikao Juma Duni aliwaambia waandike majina na nauli zao wafuate siku Jumatatu iliyokuwa inafuata. Kitendo hicho kilipelekea waandishi wakahamaki na kuanza matusi na kejeli.

Ili kuizima hiyo kashfa ilibidi nitoe fedha zangu mfukoni niwalipe hao waandishi.

Baada ya Maalim Seif na watu wake kuondoka ndani ya CUF kumekuwa na juhudi za kubadili mwelekeo wetu kuhusu wanahabari. Ni lazima tukiri hata hivyo kwamba muda umekuwa ni mchache na changamoto ni nyingi kuweza kuweka mambo yote sawa kwa mkupuo mmoja. Hatukuwa vizuri katika maeneo mbalimbali yanayohusu habari.

Kwa sasa tumeweza kujiimarisha kwa kiasi fulani kwenye mitandao ya kijamii na kidogo kidogo habari zetu zinaanza kuripotiwa kwenye magazeti na vyomno vingine vya habari.

Leo CUF siyo ngeni tena kwenye electronic media, mathalani Online TV na You Tube. Habari zetu nyingi zinaripotiwa online TV. Aidha video zetu nyingi zimepandishwa mle na bila ya shaka zina mchango katika kuimarisha taswira yetu.

Hata hivyo wanachama wetu ukilinganisha na wale wa vyama vingine bado ni wadhaifu sana kwenye matumizi ya nitandao ya kijamij hasa facebook na twitter. Mrejesho kule siyo mzuri.

Facebook ni mtandao unaotumiwa na vijana wengi. Tukivamia kule kwa wingi na muda wote tutavuna wanachama na wapiga kura pia.

Twitter ni mtandao wa watu wa daraja la kati kimaisha. Wasomi wengi wako kule. Chama kikipata unaarufu ndani ya twitter kinajijengea mazingira mazuri ya kupata viongozi bora wa chama wa siku zijazo.

Tatizo letu kubwa ni fedha. Mapato yetu ni kidogo sana ukilinganisha na mahitaji. Tusijidanganye, vitu vyote vizuri vina gharama.

Tukiwa na fedha habari zetu zitatoka kurasa za mbele za magazeti mbamimbali kwa mapana na marefu.

TUTAPATAJE FEDHA ZA KUTOSHELEZA MAHITAJI YETU?

Tutachangishana. Kama kila mmoja wetu ataamua mathalani atoe shilingi 100 kila siku kibubu kitajaa mpaka kitamwagika.

Baada ya kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa tarehe 08/03 tutaweka wazi mpango wa kuwaomba wanachama na wananchi kwa ujumla wakichangie chama chao. Muda ukifika tufanye kweli!

Tukiweza kujiondoa kwenye utegemezi wa ruzuku, CCM bye bye!

Kama wazee wetu enzi za TANU waliweza ni kitu gani cha kutuzuia sisi?

Viongozi wa chama, viongozi wa Jumuiya, na wanachama katika ngazi zote tuanze kazi kiukweli kabisa.

Tujitahidi tofauti zetu za binafsi zikae nje ya masuala yanayohusu chama. Kwenye kazi za chama majina ya kuitana ni MHESHIMIWA na siyo vinginevyo!

Oktoba iko karibu. Shime ndugu zangu. Iwe nvua, liwe jua tukachukue ushindi!!!
 
Mbona kama kwamba munaandika kwa kujificha hivi? hebu tueleze wewe uliandika ni nani?
Pili zungumzeni mikakati yenu na Sera zenu sio mutupe historia ya Maalim na Juma Duni wakati hawapo tena kwenye chama
 
Niambie kwanza wale polisi waliomwingiza pr Lipumba ofisini buguruni kwa nguvu escot wakati hatakiwa hawakutoa pesa yeyote...je na zile pesa karibia bil 3 alizohongwa pr Lipumba wakati anawasaliti wenzake katika uchaguzi mkuu 2015 kwann asianzishe nazo gazet la chama chenu cha wasaliti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kudai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu mtakuwa mnapoteza wakati. Na hilo la kudai tume huru ya uchaguzi wala sio ombi, bali ni takwa la wakati hasa upinzani. CUF kwa sasa haina mvuto na huo ndio ukweli, labda Lipumba atoke, kinyume na hapo mtapoteza muda. Hivyo mnapaswa kudai tume huru ya uchaguzi kama mnahitaji kuendelea kuwa sehemu ya vyama vya siasa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

[/QUOT
Maumivu ya Kichwa huanza pole pole CUF ni sawa sawa na UDP
 
CUF Habari mbona unaandika kwa kutumia nafsi ya tatu !

Hii ni rushwa na rushwa ni adui wa haki. Ingeeleweka kama CUF Habari ingekuwa idara ya mawasiliano ndani ya chama au angalau mkiwa ni valantia rasmi mliopewa kazi kama Buku Saba waLumumba.

Lakini kwa staili hiyo uliyosema Mzee Haji Duni alikuwa sawa kuwastukia.
 
niajirini niwapigie kampeni huku kwenye mitandao, CHADEMA wote wanaoiponda serikali huku wanalipwa na Mbowe.
 
Bwana kambaya salama shehe, hujambo bwana kambaya? Unakumbuka wale ndugu wa cuf uliowapiga Kyle KIGOGO?.Wape salaam

CUF ipi ya Lipumba au?
 
Bila kudai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu mtakuwa mnapoteza wakati. Na hilo la kudai tume huru ya uchaguzi wala sio ombi, bali ni takwa la wakati hasa upinzani. CUF kwa sasa haina mvuto na huo ndio ukweli, labda Lipumba atoke, kinyume na hapo mtapoteza muda. Hivyo mnapaswa kudai tume huru ya uchaguzi kama mnahitaji kuendelea kuwa sehemu ya vyama vya siasa.
Usije ukashangaa siku ukiambiwa CUF ndio kimekuwa chama kikuu cha upinzani, ile ziara ya Lipumba ikulu halafu ikafuatiwa na Lipumba kupewa ruzuku ya chama badala ya kupelekwa kwenye account za chama ulikuwa ni mwanzo tu, bado kuna mengine yatafuatia, don't write anything off, this is Tanzania we are talking about.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume ya uchaguzi iliyo huru inadaiwa bungeni kwa hoja sio kwenye mitandao
Wana siasa wa upinzani tatizo sio tume huru
Kwanza nyie wenyewe muwe huru kuheshimu katiba zetu
Na ni wakati muafaka wa kuwaamini vijana zaid katika siasa za mabadiliko kuliko wazee
hawa wazee walio katika siasa za upinzani awana jipya wanalinda biashara zao, wanafanya siasa za kwenye majukwaa kama geresha tu akishuka anapiga simu Kwa mtawala tupo pmj mkuu

Tume huru haiwezi kupatikana kupitia bunge, hasa bunge lenyewe likiwa na wabunge wengi waliopatikana kutokana na hiyo tume isiyo huru ya uchaguzi. Hivi sasa mitandaoni pekee ndio kumebaki sehemu ya wananchi kuwasilisha matakwa yao yaliyo kinyume na mitazamo ya watawala. Kwa mazingira yalivyo tume huru itaweza kupatikana baada ya kutokea machafuko. Kinyume na hapo hakuna tume huru ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom