CUF kuzindua operation MCHAKAMCHAKA mpaka 2015.

mkigoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
1,180
Reaction score
309
chama cha wanainchi CUF kinatarajiwa kuzindua operation mchakamchaka mpaka 2015 ambayo haitakoma mpaka uchaguzi wa 2015 ambapo uzinduzi wake utazinduliwa katika viwanja vya jangwani mwanzo mwa mwezi septemba. source fahamu mwanainchi.
 
CCM B kwani mpaka muige kila kitu? Mimi nadhani CCM wakifanya mikutano wanakuwa wamefanya kwa niaba ya vyama viwili
 
ha ha ha ha ha ha! Mama mbavu zangu ccm b bwana wananiacha hoi
 
Hivi Chadema mbona hawataki vyama vingine vifanye harakati zao za kisiasa, Chadema hawapatani na TLP, hawapatani na CUF, hawapatani na UDP, hawapatani na NCCR Mageuzi, hawapatani na hivi vyama vipya ADC, CCK..

Sasa msijifanye nyie ndio wapinzani wa Tanzania kwa kupata wabunge 23 Tanzania kubwa kuna sehemu Chadema hawafahamiki.
 
Eti mkigoma! "gomeni, mnasubiri nini?"
 
Hivi Chadema mbona hawataki vyama vingine vifanye harakati zao za kisiasa, Chadema hawapatani na TLP, hawapatani na CUF, hawapatani na UDP, hawapatani na NCCR Mageuzi, hawapatani na hivi vyama vipya ADC, CCK..

Sasa msijifanye nyie ndio wapinzani wa Tanzania kwa kupata wabunge 23 Tanzania kubwa kuna sehemu Chadema hawafahamiki.

Hatupatani nao kwakuwa ni wenzenu. Rafiki wa adui yako ni adui yako pia!
 
Waangalie, wasije wakakata tamaa bure!...Wafanye cost-benefit analysis ya hiyo project, wasije wakaanza kulaumiana na kufukuzana uanachama!
 
Hivi Chadema mbona hawataki vyama vingine vifanye harakati zao za kisiasa, Chadema hawapatani na TLP, hawapatani na CUF, hawapatani na UDP, hawapatani na NCCR Mageuzi, hawapatani na hivi vyama vipya ADC, CCK..

Sasa msijifanye nyie ndio wapinzani wa Tanzania kwa kupata wabunge 23 Tanzania kubwa kuna sehemu Chadema hawafahamiki.

VIP MALORI100? ulnunua kweli au uli azima?
 
Chama cha msimu bwana, hivi ile ya Zinduka iliishia wapi, halafu yule jamaa anaitwa Mtatiro mbona kimya hivi anapumua kweli?
 
Kila la kheri katika vita vya kuwakomboa watanzania..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ccm b-Lazima wajikite kuijadili chadema
 
wakiunganisha na uamsho itakuwa nzuri sana na itabamba mpaka ikulu.
 
Hivi Chadema mbona hawataki vyama vingine vifanye harakati zao za kisiasa, Chadema hawapatani na TLP, hawapatani na CUF, hawapatani na UDP, hawapatani na NCCR Mageuzi, hawapatani na hivi vyama vipya ADC, CCK..

Sasa msijifanye nyie ndio wapinzani wa Tanzania kwa kupata wabunge 23 Tanzania kubwa kuna sehemu Chadema hawafahamiki.

wanahela? Au wamefadhiliwa na nani? Chadomo tunajua ni kanisa ujerumani na ruzuku. Mafisadi jina linajieleza, hawa je?
 
Safi kila la kheri katika operation.CDM bado ni wachanga sana tena sana kisiasa.

Sent from my BlackBerry vampire using JamiiForums
 
Kila chama kina haiki ya kutafuta ushawishi kwa wananchi,
tusubiri tuone nani zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom