tunalazimika
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,098
- 256
Hawa Ndondocha nao kwanini wasiungane na waislamu wenzao kuandaa katiba yao feki! CCM B at work
Hawa Ndondocha nao kwanini wasiungane na waislamu wenzao kuandaa katiba yao feki! CCM B at work
Kama yalikuwepo ina maana kaf hawakujali kitu kuyaendeleza, maendeleo yoyote hayategemei nani kaanzisha yanategemea nani anayaendeleza, unaweza kuweka jiwe la msingi likaakaa milele kama hakuna mtu wa kuendeleza ujenzi.ukitaka kujua kuwa cdm si wanmapambano just wanataka ujiko angalia hapa
walitaka kuwadanganya wananchi kuwa wao ndio walioanzisha haya mapambano ya katiba mpya sasa hawatopenda kujiunga mkono kwa maana watu watajua kuwa mapambano hayo yalikuwepo muda mrefu na wao hawakuwa sehemu ya mapambano hayo
Mdahalo uliofanywa ITV kati ya Mbowe na Kiongozi wa kambi ya upinzani aliyemaliza muda wake, Mbowe aliulizwa kwa nini msinge tumia njia nyingine za kistarabu kudai ratiba mpya kuliko hii ya kutoka nje wakati rais anahutubia alijibu;<br />
<br />
Umedhihirisha ambalo wengi hawataki kulikiri, shida hapa sio katiba mpya wala uchungu na TZ. Basi subiri, Askofu Malasusa, Kadinali Pengo, na Padri Slaa wanamalizia ya kwao itakayowasilishwa na chama chao CHADEMA
Ujinga ni sawa na usiku wa giza hujui katiba ni sheria mama wa yote unayoyasema pole sana.Wait a minute!
Katiba mpya italeta umeme vijijini na mjini
Katiba mpya italeta barabara mjini na vijijini
Katiba italeta bei za mazao ya wakulima vijijini
au ni:-
Mgawanyiko wa madaraka na jinsi ya kuchagua PM, Waziri, yaani siasa kula/kura
Jengeni hayo mambo kwanza kabla ya kimbelembele ya kufuata mkumbo kwa jambo lisilo na tija
Wait a minute!
Katiba mpya italeta umeme vijijini na mjini
Katiba mpya italeta barabara mjini na vijijini
Katiba italeta bei za mazao ya wakulima vijijini
au ni:-
Mgawanyiko wa madaraka na jinsi ya kuchagua PM, Waziri, yaani siasa kula/kura
Jengeni hayo mambo kwanza kabla ya kimbelembele ya kufuata mkumbo kwa jambo lisilo na tija
sheria mama ndio..naona kama kibwagizo ambacho wajinga fulani wameombwa kuimba nao wakaanza kuimba...
Katiba haina tija Tanzania, iliyopo tu ikifuatwa vizuri inatosha kuleta tija..issue ni kwamba haifuatwi na hakuna anayeweza kuhoji.
CCM wenye busara zao wanaliona hilo umebaki wewe, lazima utainama tu upende usipende hata kwa fimbo.sheria mama ndio..naona kama kibwagizo ambacho wajinga fulani wameombwa kuimba nao wakaanza kuimba...
Katiba haina tija Tanzania, iliyopo tu ikifuatwa vizuri inatosha kuleta tija..issue ni kwamba haifuatwi na hakuna anayeweza kuhoji.
Ujinga ni sawa na usiku wa giza hujui katiba ni sheria mama wa yote unayoyasema pole sana.
Mkuu,
Hii inayotumika ipo tokea 1977, leo ni 2010 soon 2011. Jee imeweza kutupatia hayo uliyoyaorodhesha hapo juu?
Usikimbie, rudi uitetee Katiba tuliyonayo! na faida zake. pia tuoneshe mapungufu yake.
Au wewe ni mmoja wa wanaofaidika, nufaika na mfumo na katiba iliyopo? kwa hiyo kwako hakuna maana au haja ya kuwa na katiba ya wananchi? Hii iliyopo ni Katiba ya Chama kimoja. Unakijua chama hicho? you guessed right!! Chama chako!
Mkuu,
Topical haonekani kama ni "mjinga". Anaonekana yuko kazini, kazi ya propaganda.
Ukipitia michango yake katika threads tofauti utagundua hili. Anajaribu kuwavunja nguvu, moyo watu waaamini kuwa wanachodai hakina tija ni bora kuendelea na kile kilichopo.
Kama hafanyi kazi ya propaganda ya chama chake, yaani,kuwakatisha watu tamaa basi Topical angekuwa anakuja na ushauri mbadala au fikra mpya ya nini kifanyike.
Sasa kufanya propaganda si ujinga ni kazi yake (yawezekana yeye ni spin doctor, propangandist, polilitical party strategist au PR officer wa mrengo fulani.)
Kwa hiyo, anajaribu kuwatoa watu katika hoja, au kuwapotezea focus badala ya kujadiliana kwa hoja, basi kwa vile anatumia provocative language watu wataanza kumshambulia, kumkejeli,kumtusi. Kazi yake inakuwa imefana. Anakuwa amefanikiwa.
Mpeni masuali magumu ili ayotolee majibu hiyo ndiyo dawa yake.
Akiingia mitini, mutakuwa mumejua lengo lake ni nini.
Hapa CUF wamefanya jambo moja la maana sana na huu ni mwanzo kama nilivyowahi kusema kuwa .la leo lifanywe leo ,pasisubiriwe kitu ,yale mambo ya mikakati hayana nafasi huo ni mwendo mzuri kabisa na natumai wengine msibaki na style ya kupiga makelele ,si lazima mjumuike au muwepo katika kundi moja na CUF ,hapana ningependa kila kona kunachomoza kundi jingine ,kijeshi huwa tunaitaga ambush ,ni lazima kwa hali yeyote ile katika hili yatokeze makundi kila pembe ya Taifa hili la Tanzania kudai katiba mpya.
Let us say Chadema wanashambulia upande wake ,TLP nae anazuka huko NCCR nao wanajitokeza kivyao vyao na taasisi zingine nazo zinachomekea,kwa aina hii watawala hawataweza kupiga stop,haitowezekana na itawawia vigumu kabisa kuliko kusema watu wote wanajiunga pamoja ,aloo guruneti moja tu la CCM litatumaliza sote.
Na kwa vile tunakwenda kwa style ya ambush haya mambo yasiwe hapa Dar tu yawepo mikoa yote ,yaani hata wa huko wao waseme tunawaunga wenzetu wa Dar na kama mnavyoujua moto wa nyasi lazima watawala watafahamu kuwa maembe ni matunda.
Tunamjua ndiyo maana hatumpi nafasi kaingia choo cha kike atakimbia mwenyewe, kama ndiye wamemwona anaweza kutuchanganya JF wamekosea kuchagua hajui hata kujenga hoja anakuja na hoja za kulazimisha, kwanza katiba iko kwenye track hawawezi kuizuia bora wangekuja na vifungu fulani wanavyotaka viwemo kuliko kuzuia ujio wa katiba yenyewe.Mkuu,
Topical haonekani kama ni "mjinga". Anaonekana yuko kazini, kazi ya propaganda.
Ukipitia michango yake katika threads tofauti utagundua hili. Anajaribu kuwavunja nguvu, moyo watu waaamini kuwa wanachodai hakina tija ni bora kuendelea na kile kilichopo