Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
CHADEMA inajulikana kufanya mkutano wao leo mjini Tabora, CUF mnapita leo hii hii na tangazo, tena na maspika makubwa makubwa, la kufanya mkutano wenu kesho. Sasa mnaajenda gani? Hamuoni huku ni kuwachanganya wananchi? Ushauri wangu kwa nyie vyama MBADALA ukiona mwenzio kakutangulia kupita leo basi wewe pita baada ya wiki! Sio kama mnavofanya hivi, au kuna namna?