Nilikuwepo eneo la tukio,hakika cuf inatumika vibaya na viongozi wa cuf wamekubali kukiua chama kwa malipo ya ngawira na madaraka kutoka chama cha genge la wahuni linalopigania kutawala milele ili kuficha maovu yao na kuendeleza uzandiki na kuifilisi nchii hii kwa faida ya genge la wachache na familia zao ila sio wote ambao tupo tayari kutumikia majambazi ya kisiasa!!
Spika zinasikika mpaka kituo cha polisi Msimbazi na mapolisi wapo kuulinda mkutano lakini hakuna anaezingatia suala la mda. Saa 12 ishapita kama ilivyo sheria.
Mkurugenzi sasa anamwongelea mwalimu nyerere kuwa alikuwa mtu wa porojo na kwa sasa hakuna mtu anaeweza kumkosoa. Tatizo la msingi la watanzania kwa sasa sii Lowasa ni mfumo mzima. Kama ingelikuwa ni tatizo ni hawa basi maisha yangekuwa mazuri enzi za mkapa.
Ndege ya raisi ni prof aliyefungua katika mtandao akakuta ndege ya rais inatumia milioni tisini kuruka mpaka china.
Hii ndio ndege Msuya aliyesema kuwa tutakula majani ili inunuliwe. Chadema hakuweza kusema wala nccr bali cuf ndio waliopiga kalele. Chadema, nccr wote walikimbia cuf ndio ilibaki kuitisha maandamano. Watu muhimbili wanakufa kwa kukosa elfu nne ya dozi ya malaria wakati wengine wana bilioni 18 kwenye account.
.
mkuu umelelewa katika familia ya aina gani? maana uandishi wako ni afadhali ya yule inzi wa chooniAcha na hiyo ndoa ya CCM na CUF, tena ni ndoa ya jinsia moja, wakiwa nje kila mmoja hujidai mwanaume wa shoka ila wakiwa chumbani kuna dume na jike.
Sio kosa lao wanatekeleza matakwa ya mume wao ili wasije wakatalakika.
mkuu umeandika pumba. nivizuri ungekaa kimya kuficha upumbavu wako. huoni wenzako wanavyoandika point? jifunze mkuu.MKUU!
Si unamuona hata Mwenyekiti wao anapokutana na Mkulu jinsi anavyo kenua kwa kucheka/ kufurahi!!! Kila tukio anapo kutana naye, huwa anatoa mkenuo wa aina yake. Na pia huwa anapewa kipaumbele kwenye kila tukio la Mkulu, mfano mialiko ya Magogoni, sherehe za sensa, sherehe za vitambulisho vya taifa, n.k.
Tetesi zinasema, eti wananyemelea serikali ya maridhiano na umoja wa kitaifa na MAGAMBA 2015. Ndiyo maana wanajipendekeza Magogoni.
nadhani aliyesema hayo maneno ni mramba, labda kama unainterest na kale kakabila ketu. heheee!Spika zinasikika mpaka kituo cha polisi Msimbazi na mapolisi wapo kuulinda mkutano lakini hakuna anaezingatia suala la mda. Saa 12 ishapita kama ilivyo sheria.
Mkurugenzi sasa anamwongelea mwalimu nyerere kuwa alikuwa mtu wa porojo na kwa sasa hakuna mtu anaeweza kumkosoa. Tatizo la msingi la watanzania kwa sasa sii Lowasa ni mfumo mzima. Kama ingelikuwa ni tatizo ni hawa basi maisha yangekuwa mazuri enzi za mkapa.
Ndege ya raisi ni prof aliyefungua katika mtandao akakuta ndege ya rais inatumia milioni tisini kuruka mpaka china.
Hii ndio ndege Msuya aliyesema kuwa tutakula majani ili inunuliwe. Chadema hakuweza kusema wala nccr bali cuf ndio waliopiga kalele. Chadema, nccr wote walikimbia cuf ndio ilibaki kuitisha maandamano. Watu muhimbili wanakufa kwa kukosa elfu nne ya dozi ya malaria wakati wengine wana bilioni 18 kwenye account.
.
Mkurugenzi anaendelea kuwa watanzania tunahitaji kujioganize ili kuweza kujikomboa.
Anatolea mfano kina mkwawa walivyopambana ilhali kulikuwa hakuna technologia kama ilivyo sasa. Lakini watu hawa wamesahaulika. Tanzania tulikuwa hatuna kabila kama la mzanaki. Mzanaki ni mpita jia tu yule kaja kutudhalilisha tu. Tusipogangamala watoto wetu tutabaki kuuza nyanya tu. Watoto wa kina lowassa ndio watabaki kuwa wakurugenzi na kushika kazi zote za maana. Uliona wapi familia ya watu sabini wamefeli wote? Halafu familia za kina Lowassa ndio tu wanafauli.
NAONA KAMA WANAKATIZWA GHAFLA KUFUNGA MKUTANO.
Jf from-kariakoo/market.
.
Naona chama cha wananchi cuf kwa sasa hivi wana mkutano katika viwanja vya soko kuu kariako. Anaezungumza kwa sasa ni mtu anaejitambulisha kama mchungaji naona anamshambulia Dr Slaa na Chadema.
Umati wa watu wa Kariakoo ni kama hawawapi usikivu wowote kila mtu anaendelea na shughuli zake. Hivyo wale waliojikusanya kuwasikiliza wazungumzaji ni kama watu 70 to 80 hivi. Maspika ndoo yamebaki kuvuma ndani ya soko hadi watu hawasikilizani.
My take; Cuf wametumwa dakika za mwisho kupunguza moto wa mkutano wa wapinzani kesho?
.
.
Sasa hivi ndo kapanda mkurugenzi wa habari wa cuf jukwaani. Anatangaza kuwa mkutano utaenda mpaka saa 1915 maana polisi ndio wametuzubaisha.
Anawatangazia watu kuwa kesho hakuna mkutano wa vyama vya upinzani. Hayo matangazo yanayotangazwa na chadema ni matamanio yao. Hakuna kitu cha namna hiyo. Anaongaza kuwa ukienda masokoni utakaowakuta ni kina nzirai/hamidu na majina kama hayo. Lakini ukisikia mkurugenzi ni kina masawe na kazi zote zenye hadhi ni kina Mbowe.
.[/QUOTE
Hii kamwe haitaisaidia CUF! udini na ukabila ni sera zilizoshindwa za CCM.
Hizi ni Porojo za Alfu Lela Ulela.