CUF itakufa na Maalim, CUF itazikwa na Mtatiro, CUF itainuka kwa neema za Lipumba

Kwani huyu Kisandu ndiyo yule mchumia tumbo aliyehama dhehebu la Kikatoliki ama ni mwingine? Kama ndiye, si mtu wa kumwamini hata dakika moja.
 
kisandu unafanya siasa nyepesi zaidi ya puto la condom iliyojazwa upepo na hoja zako ni nyepesi hivohivo kama utaendelea na siasa za namna hii hutaweza kupata nafasi ya angalau kuchaguliwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Acha uongo.
 
Back
Top Bottom