Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
CUF itakufa na MAALIM, CUF itazikwa na MTATIRO, CUF itainuka kwa neema za LIPUMBA.
Kukwama kwa Chama cha CUF ni mkanganyiko WA fikra za kimtazamo kisiasa, Mtatiro hawezi kuiweka CUF kwenye chart hata angepewa promo vipi. Na hii ni kutokana na mfumo ulivyo WA chama tangu Mzee wangu wa Nzega, Tabora Mh. Mapalala muasisi WA chama hicho.
Maalim anaouwezo WA kujirudisha upya kama watayajenga upya na Lipumba na kuwa WA moja bado mapema, Jinsi wanavyo zidi kuchelewa ndivyo historia ya chama INA zidi kupukutika.
Lipumba akiachwa huru anaweza Ku regain historia ya chama na wakainuka upya.
CUF hawajavurugana Ila wamevurugwa kutoka makundi ya nje. Naitwa Deo Kisandu, ukweli mchungu lakini ujumbe umefika.
#,Deogratius Kisandu
31. 12 . 2016