CUF itakufa na Maalim, CUF itazikwa na Mtatiro, CUF itainuka kwa neema za Lipumba

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
CUF itakufa na MAALIM, CUF itazikwa na MTATIRO, CUF itainuka kwa neema za LIPUMBA.

Kukwama kwa Chama cha CUF ni mkanganyiko WA fikra za kimtazamo kisiasa, Mtatiro hawezi kuiweka CUF kwenye chart hata angepewa promo vipi. Na hii ni kutokana na mfumo ulivyo WA chama tangu Mzee wangu wa Nzega, Tabora Mh. Mapalala muasisi WA chama hicho.

Maalim anaouwezo WA kujirudisha upya kama watayajenga upya na Lipumba na kuwa WA moja bado mapema, Jinsi wanavyo zidi kuchelewa ndivyo historia ya chama INA zidi kupukutika.

Lipumba akiachwa huru anaweza Ku regain historia ya chama na wakainuka upya.

CUF hawajavurugana Ila wamevurugwa kutoka makundi ya nje. Naitwa Deo Kisandu, ukweli mchungu lakini ujumbe umefika.

#,Deogratius Kisandu
31. 12 . 2016
 
Lipumba akulipe asikudhurum safari hiiii
 
Aisee mzee Wasira kawafunda vijana Wa Lumumba utabiri feki, yeye alitabiria kifo Chadema mpaka sasa anahaha Mahakamani. Poleni Sana Lumumba fc buku7
 
CUF itakufa na MAALIM, CUF itazikwa na MTATIRO, CUF itainuka kwa neema za LIPUMBA.

Kukwama kwa Chama cha CUF ni mkanganyiko WA fikra za kimtazamo kisiasa, Mtatiro hawezi kuiweka CUF kwenye chart hata angepewa promo vipi. Na hii ni kutokana na mfumo ulivyo WA chama tangu Mzee wangu wa Nzega, Tabora Mh. Mapalala muasisi WA chama hicho.

Maalim anaouwezo WA kujirudisha upya kama watayajenga upya na Lipumba na kuwa WA moja bado mapema, Jinsi wanavyo zidi kuchelewa ndivyo historia ya chama INA zidi kupukutika.

Lipumba akiachwa huru anaweza Ku regain historia ya chama na wakainuka upya.

CUF hawajavurugana Ila wamevurugwa kutoka makundi ya nje. Naitwa Deo Kisandu, ukweli mchungu lakini ujumbe umefika.

#,Deogratius Kisandu
31. 12 . 2016
Cuf haiwezi kufa na kama itakufa lipumba hawezi kuinyanyua coz hana wapenzi upande wa pili (zanzibar)
 
Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.
Hivi kuna watu bado wanamwelewa huyu jamaa maana ndoto zake ni kama huwa zimetangulia mbele dk3.
 
Umejitoa ufahamu, baba aliyekimbia familia yake wakati wa vita unaanzaje kumbeshimu na kumuita baba.
 
Nakukumbusha mleta mada kuwa:

Lipumba aliitelekeza CUF kipindi cha mpambano mkali, akarudi baada ya neema kuonekana.

Sasa Bw.Kisandu jihoji kama bado hoja yako ina mashiko au la!
 
Huyu jamaa alikuwa anataka alipwe fidia ya tirioni moja . Sijui alimestuka usingizi hajapata maana ya hii ndoto.

Sijawahi kulewa kila anachoandika huyu mtoa uzi halafu na yeye anataka apewe dhamana ya kuongoza wananchi.

Si bora tuongozwe na hao wafuga ng'ombe tu shida zao tutazivumilia.
 
CUF itakufa na MAALIM, CUF itazikwa na MTATIRO, CUF itainuka kwa neema za LIPUMBA.

Kukwama kwa Chama cha CUF ni mkanganyiko WA fikra za kimtazamo kisiasa, Mtatiro hawezi kuiweka CUF kwenye chart hata angepewa promo vipi. Na hii ni kutokana na mfumo ulivyo WA chama tangu Mzee wangu wa Nzega, Tabora Mh. Mapalala muasisi WA chama hicho.

Maalim anaouwezo WA kujirudisha upya kama watayajenga upya na Lipumba na kuwa WA moja bado mapema, Jinsi wanavyo zidi kuchelewa ndivyo historia ya chama INA zidi kupukutika.

Lipumba akiachwa huru anaweza Ku regain historia ya chama na wakainuka upya.

CUF hawajavurugana Ila wamevurugwa kutoka makundi ya nje. Naitwa Deo Kisandu, ukweli mchungu lakini ujumbe umefika.

#,Deogratius Kisandu
31. 12 . 2016
Mara nimeacha siasa,mara natarajia kurudi dhehebu langu la zamani Romani catholic,mara nadai fidia tirion moja ooooh act wazalendo nimejivua uanachama leo kwa lipumba sijui unataka nini tukikuita mkuda tutakuwa hatujakutendea haki? Ila tirion Mimi sina
 
CUF itakufa na MAALIM, CUF itazikwa na MTATIRO, CUF itainuka kwa neema za LIPUMBA.

Kukwama kwa Chama cha CUF ni mkanganyiko WA fikra za kimtazamo kisiasa, Mtatiro hawezi kuiweka CUF kwenye chart hata angepewa promo vipi. Na hii ni kutokana na mfumo ulivyo WA chama tangu Mzee wangu wa Nzega, Tabora Mh. Mapalala muasisi WA chama hicho.

Maalim anaouwezo WA kujirudisha upya kama watayajenga upya na Lipumba na kuwa WA moja bado mapema, Jinsi wanavyo zidi kuchelewa ndivyo historia ya chama INA zidi kupukutika.

Lipumba akiachwa huru anaweza Ku regain historia ya chama na wakainuka upya.

CUF hawajavurugana Ila wamevurugwa kutoka makundi ya nje. Naitwa Deo Kisandu, ukweli mchungu lakini ujumbe umefika.

#,Deogratius Kisandu
31. 12 . 2016
Haya ndo matatizo ya kuoa mwanamke kutoka kwenye ukoo wa kichawi, nakujua vizuri Sana wewe hadi familia ya mkeo, umekuwa chizi hata hajitambui, yote hii ni Kwa Sababu ya kurogwa Sana na mkeo.
Wewe ni kada Wa ccm uliyetukuka, Kwa hiyo unafurahia CUF ichukue nchi na ccm ianguke?
Unafiki wa wazi kabisa hapa na akili za kichawi chawi tu.
Unajua fika kuwa Lipumba ni kada wenu mliyemtuma avuruge upinzani.
Mlianza hivi hivi Kwa Ben, naye akajisahau akidhani nyie ni wanadamu kumbe ni majini hatimaye Ben mmemtenda, ngoja na huyu mnyajua Mpumbafu muda wake unakaribia.
 
CUF itakufa na MAALIM, CUF itazikwa na MTATIRO, CUF itainuka kwa neema za LIPUMBA.

Kukwama kwa Chama cha CUF ni mkanganyiko WA fikra za kimtazamo kisiasa, Mtatiro hawezi kuiweka CUF kwenye chart hata angepewa promo vipi. Na hii ni kutokana na mfumo ulivyo WA chama tangu Mzee wangu wa Nzega, Tabora Mh. Mapalala muasisi WA chama hicho.

Maalim anaouwezo WA kujirudisha upya kama watayajenga upya na Lipumba na kuwa WA moja bado mapema, Jinsi wanavyo zidi kuchelewa ndivyo historia ya chama INA zidi kupukutika.

Lipumba akiachwa huru anaweza Ku regain historia ya chama na wakainuka upya.

CUF hawajavurugana Ila wamevurugwa kutoka makundi ya nje. Naitwa Deo Kisandu, ukweli mchungu lakini ujumbe umefika.

#,Deogratius Kisandu
31. 12 . 2016

Una akili kama huyo jamaa
 
Deo una stress, siasa zimekushinda tafuta kazi ya maana ya kufanya kama mchange
 
Ndo [HASHTAG]#uhuru[/HASHTAG] wa kujieleza# huo. Hata ukiandika pumba tunakusikiliza tu. Muanzisha thread Mungu anakuona ujue.
 
CUF itakufa na MAALIM, CUF itazikwa na MTATIRO, CUF itainuka kwa neema za LIPUMBA.

Kukwama kwa Chama cha CUF ni mkanganyiko WA fikra za kimtazamo kisiasa, Mtatiro hawezi kuiweka CUF kwenye chart hata angepewa promo vipi. Na hii ni kutokana na mfumo ulivyo WA chama tangu Mzee wangu wa Nzega, Tabora Mh. Mapalala muasisi WA chama hicho.

Maalim anaouwezo WA kujirudisha upya kama watayajenga upya na Lipumba na kuwa WA moja bado mapema, Jinsi wanavyo zidi kuchelewa ndivyo historia ya chama INA zidi kupukutika.

Lipumba akiachwa huru anaweza Ku regain historia ya chama na wakainuka upya.

CUF hawajavurugana Ila wamevurugwa kutoka makundi ya nje. Naitwa Deo Kisandu, ukweli mchungu lakini ujumbe umefika.

#,Deogratius Kisandu
31. 12 . 2016

kisandu unafanya siasa nyepesi zaidi ya puto la condom iliyojazwa upepo na hoja zako ni nyepesi hivohivo kama utaendelea na siasa za namna hii hutaweza kupata nafasi ya angalau kuchaguliwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
 
prof lipumb hafai kufanya siasa kwanza hananyota ya kupendwa ukiachilia kutojua kuongea kwamtiririko wenyekuchochea usikivu. Anapendezea kuwa mwalimu tuu Wa madrasa, Seif ndojembe haswaaa.
 
Back
Top Bottom