rudi shule rais si sehemu ya bunge
sasa mie mpaka sasa sijawaelewa chadema hamumtambui rais mbona mmeshaunda kambi ya upinzani bungeni na rais ni sehemu ya bunge na mtaunda serikali kivuli itakayokuwa chini ya rais au baniani mbaya kiatu chake dawa? Au chadema ni ccm c?
Sasa mie mpaka sasa sijawaelewa chadema hamumtambui Rais mbona mmeshaunda kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na mtaunda serikali kivuli itakayokuwa chini ya Rais au baniani mbaya kiatu chake dawa? au Chadema ni CCM C?
Nani wakusoma alama za nyakati kati ya CUF na CHADEMA?