huu ndio ulimbukeni ambao kwa kweli unakera sana sana...eti ngome ya CCM....cuf hawakuruhusiwa kufanya mkutano....MMMh! hivi unajua unachosema kweli ww? na ngome ya cuf iko wapi? Pemba? okay! ndio maana wabunge wengi wanaotokea Znz uwezo, perfomance zao huwa ziko chini.....inasikitisha sana. Zinduka
unachokijua ww kiko wapi?vijana mnapenda sn viongoz waropokaji!!! Hivi kitu gani kinachofanya uwatuhumu wabunge wa znz kuwa ni vilaza!!!jaribu kutumia akili yako kudadavua mambo co unakop maneno ya majukwaani.