KIGWANYA
Member
- Apr 14, 2016
- 81
- 103
Hizi ni habar za uhakika na sababu yake ni kuwa haujaitishwa na mwenyekiti halali wa chama ambaye ni Prof. Ibrahim Lipumba. Aidha wameenda mbali zaidi na kutaka polisi izuwiye mkutano huu.
Tangazo lenyewe la mkutano huo hili hapa;
The Civic United Front-CUF
Chama cha Wananchi
Wilaya ya Tanga
Taarifa kwa Umma.
Chama cha Wananchi-CUF wilaya ya Tanga, kinawatangazia wanachama wake wote, wapenzi pamoja na mashabiki kuwa kitafanya Mkutano wake Mkuu wa wilaya wa dharura tarehe 29/10/2016.
Agenda:
01.Mgogoro wa Meya Jiji la Tanga.
Mgeni rasmi:
Katibu Mkuu wa Chama Taifa Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Mhe. Julius Mtatiro.
-Maandalizi yote yamekamilika.
-Mtafahamishwa utaratibu wa mapokezi ya viongozi wetu hawa wapendwa wa kitaifa.
Taarifa imetolewa na-
Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma.
Mhe. Amour Abal-Hassan.