CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,231
113,609
Former Cuban president Fidel Castro dies

Rest in paradise comrade.

Former Cuban president Fidel Castro dies
UK, Saturday 26 November2016
3a01e957b868138858b022bcb5358e677c5ce2448151e9800b6e9f6db61aa1af_3839961.jpg

Fidel Castro stood


Former Cuban President Fidel Castro has died aged 90.


The revolutionary leader's death was announced on state television by his brother and current Cuban President, Raul Castro.

He said: "The commander in chief of the Cuban revolution died at 22:29 hours this evening."

MTOTO WA MKULIMA ALIYEJITABIRIA UMAUTI

  1. Fidel Castro alizaliwa nje ya ndoa (out of wedlock) mnamo mwaka 1926 na baba yake aliyekua mkulima wa MIWA na mama yale alikua 'MTUMISHI WA NDANI' nyumbani kwa baba yake
  2. Ni Baba wa Mtoto Mmoja tu Fidelito (little Fidel).
  3. Aprili 13 mwaka huu alitimiza miaka 90.
  4. Ndoa yake ilivunjika mara tu baada ya kutoka kifungoni, japo mkkewe aliomba talaka tangu Castro akiwa kifungoni
  5. Castro aliiibuka Mwanasheria Nguli (University of Havana) na Mwanamapinduzi wa Karne Nyingi ambaye alikamatwa baada ya jaribio la kuiangusha serikali ya Fulgencio Batista's na kuhukumiwa jela miaka 15 kifungo kilichompa umaarufu sana
  6. Aliyebobea kwa Sigara Kali hadi mwaka 1985 (Chain Smoker)
    casto.jpg

  7. Aliamua Kufuga Midevu ili aokoe muda wa kunyoa (If you calculate 15 minutes a day to shave, that is 5,000 minutes a year spent shaving,")
  8. Ameishi akitambulika kama Dikteta wa miaka mingi na amekwepa zaidi ya majaribio 600 ya kutaka kumuua yakifanywa na CIA(Castro survived more than 600 assassination plots by the Central Intelligence Agency)
  9. Hotuba yale ya mwisho aliitoa April 19 mwaka huu akiwaaga wanachama wa chama cha Kikomunisti na kuwaambia kwamba ingawa yeye atatoweka duniani lakini Mapinduzi yataishi daima
    Fidel Castro bids final farewell to his Communist Party comrades View attachment 439679
 
Dah kamanda amekufa???????????

Nlkuw nakubali misimamo yake nadhani marekani wamefurahi sana..........

Kweli cuba wamepoteza.......

R.I.P

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom