Ctv vipi! Mbona kimya tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ctv vipi! Mbona kimya tena!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DASA, Nov 9, 2011.

 1. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  CTV mlikuwa mnatuhabarisha vizuri sana wakati wa kampeni za Igunga. Bado mengi yanaendelea ambayo mi nafikiri tungepata taarifa nzuri zaidi kutoka kwenu.

  Vipi mbona kimya sasa. Kama tatizo pesa mi nadhani wapo watu wengi wapo tayari kuichangia, Fanyeni namna ili muweze kuhamasisha.

  Au kuna tatizo lingine ambalo hatujui!!
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jana Dr Slaa alikutwa kajificha katikati ya maspika ya matangazo NMC. Lilikua tukio la aina yake kama CTV wange iweka hewani katolewa kama Sadam Hussein!
   
 3. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Acha kudanganywa na hivyo vijisenti. 500Tsh ndio inakufanya ushinde siku nzima JF unaandika upuuzi, wakati wenzako wanakula mamilioni. Loh! huna hata aibu!!.
   
Loading...