mtu kama huyu anahitaji maombi tena ya nguvu!!!na ashindwe na alegee kwa jina la chadema,pumbafu sana watu tulijua majingamajinga bado yapo kijijini kumbe hata town yapo
Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.
<br />
<br />
we kweli jiografia ulifeli na nina mashaka na elimu yako cyo ya kuchakachua kweli? Moshi ni wapi na kilimanjaro ni wapi? We hujanunua cheti kweli...dola elf 30 utoe wapi labda kama we ni magamba.
we kweli jiografia ulifeli na nina mashaka na elimu ya
ko cyo ya kuchakachua kweli? Moshi ni wapi na kilimanjaro ni wapi? We hujanunua cheti kweli...dola elf 30 utoe wapi labda kama we ni magamba.