Mbaneingoma Zom
JF-Expert Member
- Feb 23, 2011
- 201
- 14
Ndugu Donyongijape, hiyo Television station ipo njiani kuja unachotakiwa kufanya ni kutunza hiyo pesa ili tukiihitaji iwe karibu mimi ni mdau namba moja hivyo hauna haja ya kuona imechelewa.Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.
Mkuu umesema jambo la maana. Hivi ruzuku ya CDM inaenda wapi? Kwa nini isitumike kuanzisha vyombo vya propaganda kama Radio, Magazeti na TV? (Sitaki mtu aseme Tanzania Daima ni la CDM). Kazi ya ruzuku si ni pamoja na kuimarisha chama?Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.
<br /><b> we are ready to contribute,i can sale even my laptop to make enough contribution in case i dont have money.</b>
<br />
<br />
Wewee yaani unauza laptop kwa ajili ya tv ya Chadema? Ina faida gani kwako?
Ndugu Donyongijape, hiyo Television station ipo njiani kuja unachotakiwa kufanya ni kutunza hiyo pesa ili tukiihitaji iwe karibu mimi ni mdau namba moja hivyo hauna haja ya kuona imechelewa.
Aliyekuambia Tanzania Daima ni la CDM kakudangany. Kama unajua kupima habari angalia habari inazoandika Tanzania Daima zinazohusu CDM, na habari inazoandika Uhuru zinazohusu CCM, kama huko kishabiki utaona tofauti kubwa. Hakuna siku Uhuru inaweza andika habari za CCM zenye mtazamo hasi, lakini Tanzania Daima linaandika habari za CDM hata zikiwa hazitakiwi na Wana CDM.
Haiwezi kwenda hewani mpaka ikubaliwe na Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), ambayo in charge wake kateuliwa na mwenyekiti wa CCM, hivi watu tunaposema tunataka katiba mpya tunaeleweka kweli?Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.
hebu jaribuni hii chadematv's Channel - YouTube
Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.
Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days
I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.
Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?
Pro-CMD-JF, nawashauri fanyeni kazi ebu acheni kukaa vijiweni, hivi mnadhani CDM wakianzisha TV: maisha yenu ndio yatakuwa mazuri? Huko ni kujidanganya.
Natoa wito na nasaa kwenu serikali ya maisha yenu ni vichwa vyenu!
Ndugu Donyongijape sahihisho dogo tu siyo CTV ni Chadema Television Network CTNJamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.