habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Wafanyakazi wepi hao?Serikali ya awamu hii basically inalenga kuwanufaisha wafanya kazi wake only.
Mkuu jiwe limefanyajeJiwe
HaliuguiMkuu jiwe limefanyaje
Kuna pahala nimeona inasukumwa ndio yenyewe?Mbona Bombardier moja imeshakufa. Imelala Mwanza huu mwezi wa pili. Injini imekufa.
Kuna pahala nimeona inasukumwa ndio yenyewe?
Aisee na bado kuna nyingine inakuja, wasiwasi wangu tusijeziuza baadae km wenzetuKama ni Mwanza na ni Bombardier basis jua ni yenyewe. Tumeshapigwa!!!
Nafikiri ni mpaka $2.5m kwa CT Scan brand new lakini used ni mpaka $65,000Ct scan moja bei gani na hyo boeing bei gani tufanye comparison
Nafikiri ni mpaka $2.5m kwa CT Scan brand new lakini used ni mpaka $65,000
Na bombadier ni $32. m
Watu wanakosa huduma za lazimaHapa tunapata CT-Scan 12 brand new.
Yesu wangu!!!!!!!!Nafikiri ni mpaka $2.5m kwa CT Scan brand new lakini used ni mpaka $65,000
Na bombadier ni $32. m
No oneYesu wangu!!!!!!!!
jamani,jamani,jamani
Hii si laana hii.
Kuna mtu anaweza kujustify hili la ndege kuwa kipaumbele kuliko afya za wananchi,ambao kimsingi ndio wanaobeba gharama za hizo ndege na shirika lake?,yupo anayeweza kujustify hili?.
Kuna pahala nimeona inasukumwa ndio yenyewe?