CryptoLocker:Uhalifu mpya wa internet wa kuteka mafaili

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,827
Reaction score
1,862
Uhalifu huu wa internet unafanywa kwa mtu/ kampuni /taasisi kutumiwa email yenye software hataria mbapo wakati email inasomwa software inarun underground na kufungia mafaili yako yote. Kisha? Messeji inatokea kukujulisha kuwa unapaswa kulipa kiasi fulani ili mafaili yarudishwe. Hii ni njia mpya ya wahalifu wa internet kujipatia fedha za bure. Taarifa ipo katika abc news.
 
ais¨¦e nahc naweza nkawa nakimekumbana na hao watu maana nilikua nikipitia site fulani wakanambia nahtaji kudownload software kwa¨¤jili ya files zangu zilizo kuwa deleted but am not sure
 
Uhalifu huu wa internet unafanywa kwa mtu/ kampuni /taasisi kutumiwa email yenye software hataria mbapo wakati email inasomwa software inarun underground na kufungia mafaili yako yote. Kisha? Messeji inatokea kukujulisha kuwa unapaswa kulipa kiasi fulani ili mafaili yarudishwe. Hii ni njia mpya ya wahalifu wa internet kujipatia fedha za bure. Taarifa ipo katika abc news.
.
inaonekana umetishika sana na hiyo kitu,
.
wenzako wamezungumzia humu, https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-kuwalipa-watu-$300-kilazima.html#post7940912
.
wewe mpaka unatuwekea news alert
.
ILA PAMOJA SANA KAKA UCIJARI
:israel::israel::israel::israel:
 
Back
Top Bottom