Safi sana. Huu uzi ni mtamu kwani Dunia saivi dunia itaendeshwa na hizi crypto currencies.
Binafsi, hizi taarifa za kupanda kwa bitcoin kutoka $10 hadi kufikia $2756 sio mchezo.
Nmekuwa nkiifuatilia sarafu ya Bitcoin kwa ukaribu sana.
Kuna taarifa nmezipata hii leo August 02,kwenye mtandao kuwa ifikapo 2028, Bitcoin moja inaweza kuwa na thaman ya $100,000/- na kuzidi.
Hivyo basi, kwa wale walio na plan za mbali kama Wakulima wa Mbao huko Iringa, hii ni sehemu yenye faida ya kuwekeza.
Sarafu nyingine ambayo inachipukia kwa kasi sana saivi ni ETHEREUM, KWA SASA thamani yake imefikia $320 wakati mwaka jana mwezi wa kumi ilikuwa na thamani ya $8. Hii nayo ni fursa.kwani wataalamu wa uchumi wanadai kuwa, kufikia mwishoni mwa mwaka kesho ina weza ikawa juu ya thamani ya Bitcoin kithamani.
Tahadhari. Inahitajika tahadhari kubwa sana kwenye utunzaji wa sarafu hii ya kimtandao, failure to do so, kuna hawa wakora wa Mtandaoni, huwa na uwezo wa kuidukua toka kwenye Wallet yako bila ya wewe kujua. Pia tahadhari nyingine, niutunzaji wa Seed Wallet yako, hii kwa kizungu wanaiita "Recovery phrase" yaani, kama simu yako unayotunzia izo bitcoin kwa application maalumu ambazo wanaziita Wallets, simu hiyo ikiharibika au kuibiwa, ili uweze kuhamisha kumbukumbu za wallet yako pamoja na salio lako lote la bitcoin, lazima uwe na hii Recovery phrase. Otherwise, hata kama ulikuwa na bitcoin zenye thamani ya $1ml, hutoweza kuzipata tena. Zitakuwa zimeyeyuka.
Tahadhari nyingine, ni utunzaji wa Seed yenyewe, sio vyema kuihifadhi online, kama kwnye Email au Cloudserver services. Huko ndio rahisi zaidi kudukuliwa na wajanza(Hackers)
Dude linapanda tuLeo tarehe 05/08/2017 Bitcoin ime shoot hadi $3170
As of todayMara ya kwanza kukutana na habari za digital currency ilikuwa mwaka 2012 kipindi hicho bitcoin moja ilikuwa ikiuzwa dola saba.miaka mitano baadae(2017) thamani ya bitcoin moja ni 2756$.Kwa mahesabu ya haraka haraka kama ningenunua bitcoin 100, kwa dola 700 ambayo kwa mwaka huo(2012) ilikuwa ni shilingi 1,106,000 nikaziuza leo tarehe 1/8/2017 kwa rate ya 1usd:2239tzs ningepiga shilingi milioni mia sita na kumi na saba sitini nane elfu na mia nne (617,068,400).kwa kipindi kile niliichukulia bitcoin kama sarafu tu sikuwahi kufikiri itakuja kupanda thamani kiasi hiki,saizi ningekuwa mtamu balaa najilaumu kwanini sikushtuka mapema.
Sasa ningependa kupata maoni ya wajuvi ni coin zipi zinazochipukia au ambazo bado changa zenye potential kubwa ya kupanda thamani in the near future,tuweze kuwekeza long term.
Katika tathmini yangu ya kilayman nimevutiwa na Monero,ETHERIUM MOVIE VENTURE(EMV) na ANS/NEO naziona kama zitakuja kufanya vizuri siku za mbele
-
Ingia hapa
Acha kumdanganya mwenzako na referral links zako. Msimsikilize huyu, kama unataka bitcoin, nenda moja kwa moja remitano.com au localbitcoins.com hao wana wallets humo humo au waweza fungua wallet nyingine popular kama xapo, coinbase, wallet.btc.com etcIngia hapa
FreeBitco.in - Free Bitcoin Wallet, Faucet, Lottery and Dice!
jisajili bure halafu clic palipoandikwa Deposit kisha buy bitcoin itakufungulia link ya local Bitcoin humo utakuta wengi wanauza na kununua bitcoin na bei zake. Pia waweza cheza free game au za kulipia na ukapata bitcoin za bure ingawa km huna bahati kwenye gams za kulipia itakuchukua muda mrefu hadi hizo za bure zifikie bicoin moja. Lkn pia waweza uza hata km hazijatim vitcoin moja na ukapata kuanzia 1.4$ to 2000$ kutegemea na satoshi utakazopata.
La muhimu ni kuangalia na kuwa makini maana kuna platforms nyingi za bitcoin na nyingi ni za kitapeli pia unapoouza uwe makini kwani waweza tuma bitcoin ama cash ya kununulia kwa mtu usiyemfahamu akakuibia. Hivyo ni vyem sana ukauza au kununua kwa mtu unayemfahamu.
Shukran mkuu ngoja nizifanyie research,vipi unaionaje NEO,?Safi sana, nafurahi kuona kuna wabongo mnaofahamu direction ya dunia kwa sasa.
Nakushauri uwekeze kwenye coin zifuatazo:
1. RUPEE (RUP) ipo Coinexchange/Yobit
2. LINDA ipo Cryptopia/coinexchange/yobit
3. Verge (Bittrex kama sikosei)
4. NXT (poloniex)
5. DIGIBYTE (DGB)
Note: Beware of scamcoins
Kila la heri!
Mkuu nmekusoma,shukrani kwa tahadhari,mimi nahifadhi coin kwenye hard wallet,nitaprint zile link kwenye karatasi then nahifadhi kwenye draw,naziogopa sana wallets na exchanges,wazee wa exit scamSafi sana. Huu uzi ni mtamu kwani Dunia saivi dunia itaendeshwa na hizi crypto currencies.
Binafsi, hizi taarifa za kupanda kwa bitcoin kutoka $10 hadi kufikia $2756 sio mchezo.
Nmekuwa nkiifuatilia sarafu ya Bitcoin kwa ukaribu sana.
Kuna taarifa nmezipata hii leo August 02,kwenye mtandao kuwa ifikapo 2028, Bitcoin moja inaweza kuwa na thaman ya $100,000/- na kuzidi.
Hivyo basi, kwa wale walio na plan za mbali kama Wakulima wa Mbao huko Iringa, hii ni sehemu yenye faida ya kuwekeza.
Sarafu nyingine ambayo inachipukia kwa kasi sana saivi ni ETHEREUM, KWA SASA thamani yake imefikia $320 wakati mwaka jana mwezi wa kumi ilikuwa na thamani ya $8. Hii nayo ni fursa.kwani wataalamu wa uchumi wanadai kuwa, kufikia mwishoni mwa mwaka kesho ina weza ikawa juu ya thamani ya Bitcoin kithamani.
Tahadhari. Inahitajika tahadhari kubwa sana kwenye utunzaji wa sarafu hii ya kimtandao, failure to do so, kuna hawa wakora wa Mtandaoni, huwa na uwezo wa kuidukua toka kwenye Wallet yako bila ya wewe kujua. Pia tahadhari nyingine, niutunzaji wa Seed Wallet yako, hii kwa kizungu wanaiita "Recovery phrase" yaani, kama simu yako unayotunzia izo bitcoin kwa application maalumu ambazo wanaziita Wallets, simu hiyo ikiharibika au kuibiwa, ili uweze kuhamisha kumbukumbu za wallet yako pamoja na salio lako lote la bitcoin, lazima uwe na hii Recovery phrase. Otherwise, hata kama ulikuwa na bitcoin zenye thamani ya $1ml, hutoweza kuzipata tena. Zitakuwa zimeyeyuka.
Tahadhari nyingine, ni utunzaji wa Seed yenyewe, sio vyema kuihifadhi online, kama kwnye Email au Cloudserver services. Huko ndio rahisi zaidi kudukuliwa na wajanza(Hackers)
Kweli kabisa,inahitajika umakini sana kwenye handling ya manunuzi na mauzo ukiingia kichwa kichwa wanalamba mkwanja wako,cha muhimu hakikisha umejisajili paypal,then utafute trusted exchange,mimi huwa namtumia jamaa yangu ambaye ni mzoefu wa hizo vituAcha kumdanganya mwenzako na referral links zako. Msimsikilize huyu, kama unataka bitcoin, nenda moja kwa moja remitano.com au localbitcoins.com hao wana wallets humo humo au waweza fungua wallet nyingine popular kama xapo, coinbase, wallet.btc.com etc
Mkuu I am in it for the long term,pia siogopi kurisk kwenye coin mpya,as long as nimejiridhisha kuwa ina potential nshapoteza hela kibao kwenye mambi mengine ya hovyo,wacha nijitoe mhanga,nitawekeza kwenye bitcoin yenyewe na digital curency nyenginezo,long term.Bitcoin itakuja kufika hadi $10,000 per bitcoin. So its still a valid choice kwa anayetaka kununua. Cryptocurrency ni nyingi sana ila mara mia kuplay safe na kudeal na the most popular Bitcoin,Etherium, Litecoin, Ripple maana angalau hizo zina probability ya kulast muda mrefu na kua na urahisi wa kuuza na kununua.
Nyingine si mbaya kujump in early ila zinaweza zisikue ukaishia kutebgeneza very little profit au kupoteza kabisa. Kama unakomaa na nyingine ukitegemea zitakuja kukua thennakushauri ufanye mining mwenyewe tu maana nyingi bado kwenye stage ambayo computational power ndogo tu inaweza mine bila tatizo. Usifanye mining ya hizi popular coins for not its a waste of time hata top of the line GPUs hazitokusaidia unashindana na watu wana mining rigs zinazocost hundred million of dollars, hizi popular ones kaa usikilizie zikishuka tu nunua fasta then hold for the long term. Kama huna hela then acha tu hii bubble ikupite, inabidi uwe na hela ambayo inaweza kaa tu miaka kama miwili mitatu huitumii.