Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,888
kafungua ofisi ya kuuza hizo cryptocurrency au anauza yeyeKunarafiki yangu tulisoma pamoja UDSM kisha kaenda kuchukua masters Ulaya. Karudi hajawahi kupata kazi ndani ya 2years . sasa kafungua ofisi ya biashara ya cryptocurrency. Kila siku offisini Kwake na smartphone pamoja na laptop kununua na kuuza. Hakika huwezi mlinganisha na degree holder anayepokea 1mill/ month. Swala la kupanda na kushuka ni opportunity kubwa. Kwani kunawakati wa kununua na wakati wa kuuza. Hata biashara za gold, share price katika masoko zipo hivyo kama dar es salaam market stock exchange. unakumbuka share za vodacom, acacia etc zilivyokuwa zinapolomoka na kupanda kwa tamko la sekunde 1?. Tatizo watu wanawaza get rich quickly ndiyo maana wanaangamia vibaya kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimempenda maana kwa hapa bongolala angesema ashindie nyumbani siku nzima akikodolea macho screen ya laptop yake soon angeitwa jambazi au wakala wa beberuBiashara hii ni online business. Ofisi ni kwa ajili ya kukaa na kuanza kuangalia masoko kupitia smartphone na laptop yake. Hii ni sawa na wewe ufungue ofisi ili uwe unaenda kukaa ili kusoma nyuzi , kuanzisha nyuzi. Kila jambo linahitaji umakini siyo wewe umeajiliwa harafu unaingia forex 5minutes unacheza kisha unatoka harafu unasubili utajili. Yeye ni 13hr/ day hupo ofisi kwakwe kwa ajili ya kuangalia masoko online ya cryptocurrency.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweri.nimempenda maana kwa hapa bongolala angesema ashindie nyumbani siku nzima akikodolea macho screen ya laptop yake soon angeitwa jambazi au wakala wa beberu
kuna watu wananunua na kuhold kwenye wallet na kuna watu wanatrade live kupitia fx brockers tofautisha hao watu,Kunarafiki yangu tulisoma pamoja UDSM kisha kaenda kuchukua masters Ulaya. Karudi hajawahi kupata kazi ndani ya 2years . sasa kafungua ofisi ya biashara ya cryptocurrency. Kila siku offisini Kwake na smartphone pamoja na laptop kununua na kuuza. Hakika huwezi mlinganisha na degree holder anayepokea 1mill/ month. Swala la kupanda na kushuka ni opportunity kubwa. Kwani kunawakati wa kununua na wakati wa kuuza. Hata biashara za gold, share price katika masoko zipo hivyo kama dar es salaam market stock exchange. unakumbuka share za vodacom, acacia etc zilivyokuwa zinapolomoka na kupanda kwa tamko la sekunde 1?. Tatizo watu wanawaza get rich quickly ndiyo maana wanaangamia vibaya kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
wadau naomba tuelezane ukweli hivi kweli mtu unaweza kutoboa maisha kwa kuwekeza kwenye cryptocurrency .
Nimeshangaa ethereum iliyokuwa imepanda mpaka $150 January 1 mwaka huu eti Leo iko $127 na inaendelea kushuka .
Sasa wanaofanya bishara hii ya hizi cryptocurrency wanafaidika chochote kweli maana mimi kwa mtazamo wangu naona pressure inaweza ikaniua endapo nikiwekeza huko
Kunarafiki yangu tulisoma pamoja UDSM kisha kaenda kuchukua masters Ulaya. Karudi hajawahi kupata kazi ndani ya 2years . sasa kafungua ofisi ya biashara ya cryptocurrency. Kila siku offisini Kwake na smartphone pamoja na laptop kununua na kuuza. Hakika huwezi mlinganisha na degree holder anayepokea 1mill/ month. Swala la kupanda na kushuka ni opportunity kubwa. Kwani kunawakati wa kununua na wakati wa kuuza. Hata biashara za gold, share price katika masoko zipo hivyo kama dar es salaam market stock exchange. unakumbuka share za vodacom, acacia etc zilivyokuwa zinapolomoka na kupanda kwa tamko la sekunde 1?. Tatizo watu wanawaza get rich quickly ndiyo maana wanaangamia vibaya kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app