Crown au brevis

Crown au brevis

Nakumbuka kuna Jagua XF moja imezunguka Kwa madalali wote mjini apa mpk wa mwanza lakini imeshindwa kutoka….


Mara ya mwisho nmeona na magari_mtaani kaipost lakini wapi ilianza 25m mpaka 19m watu kama hawaioni
 
Salam wakuu,naomba kuuliza,Kuna sehemu niliona Crown Athlete (used) inauzwa Tsh.8,000,000, number D. Je,nichukue,au unakuta haitengenezeki ,au ndo bei yake baada imeanza kushuka kama Brevis?🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom