Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
Umepata dv 3 ya points ngap?
Am facing the same problem mkuu nakumbuka nimeshawahi kuleta topic kama hiyo humu jamvini wadau wakaniambia kwamba nifuate kitu ninachopenda ila mimi nilivyo dadisi kwa watu nimeona kwamba pharmacy inalipa zaidi in terms ya kujiajiri ukiacha vilevile na kuajiriwa pia coz wanasema cheti chako tu kinaweza kukuingizia pesa na bado pia hauja fungua duka lako na hapo pia ukiwa umeajiriwa..embu ngoja tusubiri wadau wengine watakacho changia
Niliishia kudecide kwenda medicine sabab matokeo yangu ya biology yalikua mazuri sana compared to chemistry japo pia naweza chaguliwa pharmacy sabab pia nayo niliiweka katika selected programs.
Hahaha acha majungu kiongozi[emoji23]Mlimaliza chuo saiv je mmeajiriwa Wap au mmekufa
Two ya 11 sasa hivi husomi MD au B.pharm maana mtu utakuwa huna point 8..sema kufaulu zamani ulikuwa mbinde sana..Siku hizi hata shule za kawaida zina one zaidi ya 20 za PCB na PCMDiv 2. 11 unaongelea MD , pharmacy.
Aisee mlifaidi sana wakuu.
Nyakati sasa zimebadilika vibaya mno.
usidhan kila m2 ni kilaza kama wewe..nimepata div II ya 11 biology-B,chemistry-D,physics-E..