Kwa sasa hawapo wa aina ya cr7 na messi na itachukua muda sana.Hawa watu sijui kama kuna ambaye atafikia level zao.
Kwa kweli!Hawa watu sijui kama kuna ambaye atafikia level zao.
Libalonindoo😂😂🙌.Kwa kweli!
Ila Messi katisha zaidi.
Kutwaa "libalonindoo" mara 7 haikuwa kazi nyepesi kwake.
Baada ya kulitwaa "libalonindoo" mwaka huu kwa mara ya 8, nadhani utakuwa ndiyo mwisho wake ingawa huko Amerika nako ametisha mnooo
Hawa watu sijui kama kuna ambaye atafikia level zao.
We fikiria: Msimu huu ulipoanza CR7 alikuwa majeruhi na akakosa mechi mbili za ligi, na mchi zote hizo timu yake ilifungwa!! Alipopona na kurudi uwanjani, amecheza mechi 3 na kuongoza mkeka wa mfungaji bora wa ligi akiwa na magoli 6, akiwaacha nyuma waliocheza mechi 5!! Katika mchi hizo tatu timu yake ilishinda!! Kibabu CR7 lakini bado kinalkimbiza usipime!!Hawa watu sijui kama kuna ambaye atafikia level zao.
Kwenye video moja ya LIE DETECTOR aliulizwa kama ataweza kuendelea kucheza mpira wa mashindano hata akiwa na miaka 40 akajibu ndiyo anajiona akicheza kwa kiwango cha juu mpira wa mashindano hata akiwa na miaka 40.We fikiria: Msimu huu ulipoanza CR7 alikuwa majeruhi na akakosa mechi mbili za ligi, na mchi zote hizo timu yake ilifungwa!! Alipopona na kurudi uwanjani, amecheza mechi 3 na kuongoza mkeka wa mfungaji bora wa ligi akiwa na magoli 6, akiwaacha nyuma waliocheza mechi 5!! Katika mchi hizo tatu timu yake ilishinda!! Kibabu CR7 lakini bado kinalkimbiza usipime!!
Amekubali yaishe....mambo ya kuendelea kuperform kwa viwango , kushinda na kuchukua maballon Dior amemuachia Messi.Mbona nimesoma ila sijaona Ronaldo alipotupa taulo? Au ngeli ndio imenipita kushoto