Weee 🤣🤣🤣Huku sasa kujifariji baada ya Hat trick ya G.O.A.T 🐐 La Pulga naona mmeanzisha uzi maalumu 🤣🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😄😄🙌Huku ni kulazimisha kujamba hali ya kuwa unaharisha
Soon watazaa 😁Hat tric imepenya mahala pake na mimba juu sasa mmeanza kutema mate hovyo
😂😂Leo sasa ndio kombe la Dunia linaanza. Tuwe tayari kumpokea mfalme wa mpira wa miguu.
Ila wewe jamaa mchokozi 😂😂😂😂 ndio ufufue uzi kwa kutuaga usiku mwema kweli?Usiku mwema
🤣🤣🤣 Eti kombe la dunia ndo limeanza leo jioniSi haba CR7 G.O.A.T kapiga off taget mbili.
Hii mbuzi ilikua inazurura uwanjani kama vile afisa kilimo anakagua mashambaGOAT kanilaza na njaa leo🥹
sawaCR7 G.O.A.T