Crispin Ngushi ni hatari Sana

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,989
Huyu dogo anajua sana. I didn't know his game. he needs to improve his craft kidogo kwenye finishing . I believe a few caf games. yanga ikiweza kuingia makundi.

His life football story might change forever. ANA KITU ATAFIKA MBALI. he deserves more support nategemea kumuona kikosi cha taifa next match.
 
huyu dogo anajua sana. I didn't know his game. he needs to improve his craft kidogo kwenye finishing . I believe a few caf games. yanga ikiweza kuingia makundi. his life football story might change forever. ANA KITU ATAFIKA MBALI. he deserves more support nategemea kumuona kikosi cha taifa next match.
Nabi amewekavwazi huyu hazina kubwa sana asiachwe.....ingawa majeruhi yanamuandama
 
Hakuna Mchezaji kama Mayele Tanzania.

Amechangia Mafanikio ya yanga Peke yake 60%

MAYELE ALIIBEBA YANGA MGONGONI.
MSIFANANISHE MAYELE NA HAO WACHUMB.
Mayele hakucheza nwenyewe na ni kocha Nabi ndiye alimtengeneza kuwa pasi zote za mwisho ziende kwake na akapata matokeo ila anaweza asipate matokeo mazuri kule aendako kama hata pangwa na kutumika kama ilivyokuwa kwa yanga
 
huyu dogo anajua sana. I didn't know his game. he needs to improve his craft kidogo kwenye finishing . I believe a few caf games. yanga ikiweza kuingia makundi. his life football story might change forever. ANA KITU ATAFIKA MBALI. he deserves more support nategemea kumuona kikosi cha taifa next match.
alikuwa mchezaji mzuri mno but majeraha yakamtejesha nyuma

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Mchezaji kama Mayele Tanzania.

Amechangia Mafanikio ya yanga Peke yake 60%

MAYELE ALIIBEBA YANGA MGONGONI.
MSIFANANISHE MAYELE NA HAO WACHUMB.
Kama amemfananisha na Mayele msamehe bure amekosea. Hata Mimi niliamini Ngushi atakuwa mchezaji wa 3 kuagwa Yanga baada ya Ambundo na Johora. Lakini nikashangaa Hakuna Thank you mpaka tarehe 10. Nilivyododosa nikaambiwa Nabi aliacha andiko zuri dhidi yake na Nkane, nikamshangaa Nabi. Ila Jana ameniprove wrong.
 
Mayele hakucheza nwenyewe na ni kocha Nabi ndiye alimtengeneza kuwa pasi zote za mwisho ziende kwake na akapata matokeo ila anaweza asipate matokeo mazuri kule aendako kama hata pangwa na kutumika kama ilivyokuwa kwa yanga
Na katika watu waliokuwa wakikosa magoli ni huyo Mayele, mfungaji mzuri na pia mkosaji mzuri
 
Kama amemfananisha na Mayele msamehe bure amekosea. Hata Mimi niliamini Ngushi atakuwa mchezaji wa 3 kuagwa Yanga baada ya Ambundo na Johora. Lakini nikashangaa Hakuna Thank you mpaka tarehe 10. Nilivyododosa nikaambiwa Nabi aliacha andiko zuri dhidi yake na Nkane, nikamshangaa Nabi. Ila Jana ameniprove wrong.
Hata Mimi nilijua hivyo Kumbe ngushi ni mchezaji wa ukweli Ana spidi Ana nguvu ana bidii .
Combination aliyofanya na gift mauya huwa tunaziona Kwenye ligi za ulaya
Pongezi kwa super coach nabi
Denis nkhane namkubali dogo yanga wasimwache kabisa
 
Hakuna Mchezaji kama Mayele Tanzania.

Amechangia Mafanikio ya yanga Peke yake 60%

MAYELE ALIIBEBA YANGA MGONGONI.
MSIFANANISHE MAYELE NA HAO WACHUMB.
Kuna mtu amecompare mgushi na mayele au unabadirisha mada

Pumzika kidogo kama una stress
 
Back
Top Bottom