chikanu chikali
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 1,144
- 1,835
madhara ya udikteta hayo, mtu mmoja anaamua chochote anachotaka hata kama haina faida kwa taifa, Russia inaongozwa na kakikundi kagogo sana lakini majority wanateseka yaani warusi mpaka na wale weusi wa kilombero.Mwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
Umesahau ule Msafara wa Convoy la Vifaru Lenye urefu wa 64km kuelekea Kiev. Yaani nikajua Ukraine ndio inafutwa kwenye ramani ya Dunia. Lakini huwezi kuamini Msafara wote ulifyekwa na Man Pads (Javerin na NLWA). ILA Hawa Madikteta wana mbwembwe kweli,yaani unapeleka Msafara wa 64km kweli Kuteka mji? Baada ya hii Vita Rais wa Ukraine anatakiwa Kupewa tuzo ya Jasiri Bora wa Dunia. Ni Rais gani angelibaki ikulu huku akijua Msafara wa Kijeshi wenye urefu wa 64km unakuja kuuteka mji Mkuu?Mwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
Samahani mkuu nilisahau Na asante sana kwa kujazia minofu . Habari za kuaminika ni kwamba Putin ameanza kutetemeka na kusahau sahau mkuu . RIP soon SHETANI Putin.Umesahau ule Msafara wa Convoy la Vifaru Lenye urefu wa 64km kuelekea Kiev. Yaani nikajua Ukraine ndio inafutwa kwenye ramani ya Dunia. Lakini huwezi kuamini Msafara wote ulifyekwa na Man Pads (Javerin na NLWA). ILA Hawa Madikteta wana mbwembwe kweli,yaani unapeleka Msafara wa 64km kweli Kuteka mji? Baada ya hii Vita Rais wa Ukraine anatakiwa Kupewa tuzo ya Jasiri Bora wa Dunia. Ni Rais gani angelibaki ikulu huku akijua Msafara wa Kijeshi wenye urefu wa 64km unakuja kuuteka mji Mkuu?
Hapa East Africa tunaye dictators WAWILI wamebaki M7 naUmesahau ule Msafara wa Convoy la Vifaru Lenye urefu wa 64km kuelekea Kiev. Yaani nikajua Ukraine ndio inafutwa kwenye ramani ya Dunia. Lakini huwezi kuamini Msafara wote ulifyekwa na Man Pads (Javerin na NLWA). ILA Hawa Madikteta wana mbwembwe kweli,yaani unapeleka Msafara wa 64km kweli Kuteka mji? Baada ya hii Vita Rais wa Ukraine anatakiwa Kupewa tuzo ya Jasiri Bora wa Dunia. Ni Rais gani angelibaki ikulu huku akijua Msafara wa Kijeshi wenye urefu wa 64km unakuja kuuteka mji Mkuu?
Pia kaka ktk medani ya vita vya ardhini, UK ni moto mwingine. UK alikuwepo hapo Ukraine akinoa vikosi vya Ukraine toka Crimea ilipomegwa. Hakika vikosi vya Ukraine vimepikika.mbinu za Ukraine zimekaa kimafya sana.
walipo shindwa kuikamata kyiv. russia ikawa na mbinu ya kujiimarisha maeneo walipo jishikiza na kuteka maeneo mapya ya ukraine kwa kutumia makombora ya masafa marefu.
yaani rusia ilenyesha mvua za makombora asubuh mchana jion na wahanga wakubwa wakawa raia.
sasa UKRAINE akaja na mbinu mpya wakishambuliwa mfululizo wanarudi nyuma ili kuviacha vikos vya adui vijirundike. katika maeneo watakayo teka.
wakat huo huo alisha usoma mchezo kua air defence za urus ni poyoyo.
akaanza kuzishambulia kwanza hizo air defence alipo maliza akafatia na rada za russia alipo maliza akamalizia na mfumo wa ugavi wa silaha.
halafu ghafla bin vuu sasa
SHAMBULIAAAAAAAAAAAAAAAAA.
RUSIA anapigwa hajui mashambuliz yanapo tokea fikiria unanyeshewa mvua ya makombora zaid ya 50 halaf yote yana hit Target.
mfano wa bondia ambae kila ukipgana nae yeye anakulenga ngumi ya pua tu. yaan ukiinua uso ngoma ina land puani kila ukifurukuta kitu kina piga apo apo puani
vip utaendelea na pambano apo?
ndicho kilichowakuta wafuas wa PUTIN.
tulivyoona wanashambulia mara CRIMEA mara madaraja mara nyingine wanashambulia had maghala ya silaha yaliopo ndan kabisa ya urus. tukajiuliza hawa vipi? leo ndio tumejua
USICHEZE NA DAMU za kiyahudi aseee.
Bora kapumzishwamadhara ya udikteta hayo, mtu mmoja anaamua chochote anachotaka hata kama haina faida kwa taifa, Russia inaongozwa na kakikundi kagogo sana lakini majority wanateseka yaani warusi mpaka na wale weusi wa kilombero.
uchaguz wetu 2020 magu alikuwa anatupeleka huko kwenye udikiteta
Liz Truss kuunyaka u PM wa UK ni mwiba mwingine mkali kwa Putin. Yule mama hapendi ujinga wa dikteta Putin.....Habari za kuaminika ni kwamba Putin ameanza kutetemeka na kusahau sahau mkuu . RIP soon SHETANI Putin.
Sasa anaenda kudharirishwa na mwanamke aiseeeLiz Truss kuunyaka u PM wa UK ni mwiba mwingine mkali kwa Putin. Yule mama hapendi ujinga wa dikteta Putin..
Russia says does not expect frosty UK ties to warm under Truss
Kremlin spokesman Dmitry Peskov says 'that no changes for the better are expected' under the new UK prime minister.www.aljazeera.com
acha umbuz , rudi kwenye ukoloni + utumwa ukawakemee akina Nyerere wasipiganie uhuru kisa kuna watu watakufa[emoji635][emoji1255] You know, what is very alarming is the thousands and thousands of dead and wounded Ukrainian soldiers from the offensive. Thousands of missing and of course prisoners.
The French press notices this in their reports, indicating that the hospitals are overcrowded (this is Kramatorsk).
Of course, now everyone is busy shouting victory, not noticing the price. Also not including the brain that the game is not over yet, and Zelensky has already sent all the reserves to the meat grinder.
The story bookMwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
What's so special about Yahud?mbinu za Ukraine zimekaa kimafya sana.
walipo shindwa kuikamata kyiv. russia ikawa na mbinu ya kujiimarisha maeneo walipo jishikiza na kuteka maeneo mapya ya ukraine kwa kutumia makombora ya masafa marefu.
yaani rusia ilenyesha mvua za makombora asubuh mchana jion na wahanga wakubwa wakawa raia.
sasa UKRAINE akaja na mbinu mpya wakishambuliwa mfululizo wanarudi nyuma ili kuviacha vikos vya adui vijirundike. katika maeneo watakayo teka.
wakat huo huo alisha usoma mchezo kua air defence za urus ni poyoyo.
akaanza kuzishambulia kwanza hizo air defence alipo maliza akafatia na rada za russia alipo maliza akamalizia na mfumo wa ugavi wa silaha.
halafu ghafla bin vuu sasa
SHAMBULIAAAAAAAAAAAAAAAAA.
RUSIA anapigwa hajui mashambuliz yanapo tokea fikiria unanyeshewa mvua ya makombora zaid ya 50 halaf yote yana hit Target.
mfano wa bondia ambae kila ukipgana nae yeye anakulenga ngumi ya pua tu. yaan ukiinua uso ngoma ina land puani kila ukifurukuta kitu kina piga apo apo puani
vip utaendelea na pambano apo?
ndicho kilichowakuta wafuas wa PUTIN.
tulivyoona wanashambulia mara CRIMEA mara madaraja mara nyingine wanashambulia had maghala ya silaha yaliopo ndan kabisa ya urus. tukajiuliza hawa vipi? leo ndio tumejua
USICHEZE NA DAMU za kiyahudi aseee.