Credibility check Earthlife Africa NGO (ELA)

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
Habari zenu wakuu

Samahani nina shida kidogo,nahitaji kuifahamu hii NGO kuna mtu wangu wa karibu kapata offer ya kazi hapo,inaitwa Earthlife Africa (ELA),is it a reputable NGO? vipi kuhusu mishahara yao na ipo hapa nchini kwa muda gani.

Natanguliza shukurani
 

Mpaka nimekuja hapa mkuu basi ujue huko nimeshapita,usiwe na shaka jitihada zangu mimi sio mvivu hivyo.Hamna taarifa zao kwa hapa Tanzania.zipo taarifa zao za ofisi ya South Africa na sijaona uhusiano wao na ofisi za tz.
 

kuna tapeli anajihita mr Said anatumia kutapeli jobseeker kuwa wamrushie pesa ili awapatie kazi!kuwa makini ,taarifa zake zipo polisi tayari
 
kuna tapeli anajihita mr Said anatumia kutapeli jobseeker kuwa wamrushie pesa ili awapatie kazi!kuwa makini ,taarifa zake zipo polisi tayari

Huyo tapeli anapata wapi taarifa na namba ya simu ya mtu kuwa una tafuta kazi?
 
anazipata kwn recruiting agency. kuna sehemu kama zoom tz ukiupload cv zako hakuna privacy kabisa. kama mm kuna mmoja alishanitafta nikamshtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…