Creative Photos from Creative Pro's

Creative Photos from Creative Pro's

Mars Rover

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
338
Reaction score
140
Tupatie picha uliyopiga wewe au yeyote ambayo ungependa kujua chochote kuhusu picha hiyo..
Kama unatuma picha basi tupe na camera settings zako wakati unapiga picha hiyo..
Shutter speed:
ISO:
Aperture :
White Balance:
Camera Model:
Lens:
Location:
 
Hii itakuwa kwa ma pro. maana sijaelewa dhima ya hilo ombi kabisa.
 
Tupatie picha uliyopiga wewe au yeyote ambayo ungependa kujua chochote kuhusu picha hiyo..
Kama unatuma picha basi tupe na camera settings zako wakati unapiga picha hiyo..
Shutter speed:
ISO:
Aperture :
White Balance:
Camera Model:
Lens:
Location:
few days days while i was filming a documentary,i took this photo at a secret location somewhere i n dar es salaam,it was avery rainy day.camera niliyotumia ni EOS Canon 5D mark iii.

sikumbuki settings (ISO,aperture na WB) nilizo set kwa picha hii,ila unaweza ona details zinazo onekana kwenye picha.lens niliyo tumia ni canon 24-105mm f/4L IS USM AF Lens.
rain day.jpg
 
View attachment 252359

Decent Camera Gear mkuu.. Naplan kuchukua 5d Mark iii kwenye mwezi September..
Lens: Canon 50mm f1.4 for portraits
Canon 24-70mm L
Na 85mm
 
Back
Top Bottom