Created by AI

Kuna wakati mallerina alikuwaga demu wa manyau nyau haya hov land aka manfried aka majina mengi JF

secretarybird na Harmful wanajua stori hii
😄😄
Hahaha 🤣. Ila tapeli hov alikuwa anasukuma kete kwa akili sana. Ana IDs nyingi sana, Moja anatongozea zingine anazitumia kujisifia ili demu aingie shimo la tewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…