create windows apps without coding at all.

deojames

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
413
207
je una idea za kutengeneza windows apps lakini haujui programming! Basi jua kuna software unaweza kuitumia kutengeneza apps bila kucode, inakuwa kama unatumia microsoft office kutengeneza apps ambazo zina GUI. Unaweza tengeneza softwares aina mbalimbali kama database, multimedia, text processing and more kwa kutumia hiyo program. You can download it here http://doublesvsoop.sourceforge.net/
pia tutorial zake zinapatikana hapo kwenye hiyo site.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom