ngoja nichek bongo hapafai hapa
asante ntafuatilia nione,
"ukilala kidogo tu lazima ukatwe kiaina"
Hiyo ni Salary Processing Fee, ndio hivo serekali tapeli inakaba hadi penati na kutafuta ela kwa nguvu kutoka kwa sisi wazawa wavujajasho ilhali rasilimali ambazo zingekua sources za uhakika za income wanawapa wazungu na wachina. Cha msingi waajiriwa mkate shauri kugomea huu uizi wa mchanamchana, enzi za mwalimu mbona mambo haya hayakuepo? makato kila kona na bado hatuoni ahueni yoyote ktk huduma za kijamii. #hopeless .
Kwa mujibu wa taarifa nilizokusanya ni kua salary processing fee inaeza kulipwa na mwajiri au mwajiriwa.Sasa wadau kama hiyo inaitwa salary processing fee, kazi ya monthly fee na charges anazolipia mwajiri ni za nini?