leonMarc Member Joined Oct 27, 2017 Posts 6 Reaction score 7 Oct 31, 2017 #1 Poleni na majukumu wana JF. jaman naomba msaada mwenye kujua tofauti na matumizi na vingine vyovyote vinavyohusu accounts tajwa hapo juu katika crdb bank anifafanulie .nawasilisha kwenu wana jamiiforum.
Poleni na majukumu wana JF. jaman naomba msaada mwenye kujua tofauti na matumizi na vingine vyovyote vinavyohusu accounts tajwa hapo juu katika crdb bank anifafanulie .nawasilisha kwenu wana jamiiforum.
apakak JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 896 Reaction score 662 Oct 31, 2017 #2 Basically ni kitu kile kile Visa na Mastercard yote ni makampuni ya kimarekani yenye monopoly ya international payment systems
Basically ni kitu kile kile Visa na Mastercard yote ni makampuni ya kimarekani yenye monopoly ya international payment systems
leonMarc Member Joined Oct 27, 2017 Posts 6 Reaction score 7 Nov 1, 2017 Thread starter #3 apakak said: Basically ni kitu kile kile Visa na Mastercard yote ni makampuni ya kimarekani yenye monopoly ya international payment systems Click to expand... Shukrani mkuu
apakak said: Basically ni kitu kile kile Visa na Mastercard yote ni makampuni ya kimarekani yenye monopoly ya international payment systems Click to expand... Shukrani mkuu
Konseli Mkuu Andrew JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 748 Reaction score 887 Nov 1, 2017 #4 Dengue said: Umewahi nini? Click to expand... Mkuu JF imekuwa kama ya watoto wa chekechea tuu yaani mtu anawahi kuwa wa kwanza ku-coment atakama coment haina mahusiano na mada husika.
Dengue said: Umewahi nini? Click to expand... Mkuu JF imekuwa kama ya watoto wa chekechea tuu yaani mtu anawahi kuwa wa kwanza ku-coment atakama coment haina mahusiano na mada husika.
Nyatunyau Senior Member Joined Jan 20, 2017 Posts 152 Reaction score 111 Nov 1, 2017 #5 Andrew Luhamo said: Mkuu JF imekuwa kama ya watoto wa chekechea tuu yaani mtu anawahi kuwa wa kwanza ku-coment atakama coment haina mahusiano na mada husika. Click to expand... Umetoka nje ya mada mkuu ,tunajadili CRDB master card vs CRDB Visa card
Andrew Luhamo said: Mkuu JF imekuwa kama ya watoto wa chekechea tuu yaani mtu anawahi kuwa wa kwanza ku-coment atakama coment haina mahusiano na mada husika. Click to expand... Umetoka nje ya mada mkuu ,tunajadili CRDB master card vs CRDB Visa card