CRDB Sasa Basi!

Polee ulikaa mda mrefu bila Kuweka hela? Kama ni hivyo hizo tozo zao za kila Mwezi,kama ni kinyume na hapo wafate wakwambie wameipeleka wapi?
 
Polee ulikaa mda mrefu bila Kuweka hela? Kama ni hivyo hizo tozo zao za kila Mwezi,kama ni kinyume na hapo wafate wakwambie wameipeleka wapi?
Hata akienda majibu ndio haya...Hawa jamaa ni kama Voda tu wanakulima pesa kisha watakwambia ni service charges tu.
 
Hivi BOT na haya mabenki si kama nyani na ngedere? Hapo naunga mkono kwa alisema turudi kwenye masandarusi. Ingawa kwa zama hizi, hilo nalo haliwezekani.
 
Njoo Equity ule raha Duniani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…