Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,464
Makato ya mwezi Ni sh ngapi mkuuSasa mkuu nadhan kuna makato ya mwezi hukulipa. Ukija bank zingine utakoma mbona
Mimi mwenyewe hao nmb wamevuta 20000 yangu siku chache zilizopita! Hata sijui kilitokea nini! Maana hakuna taarifa yoyote ile. Wanafyeka tu kama vile hizo hela ni za kwao.Naona angalau NMB,hao niliwakimbia Mapema sana
Mimi mwenyewe hao nmb wamevuta 20000 yangu siku chache zilizopita! Hata sijui kilitokea nini! Maana hakuna taarifa yoyote ile. Wanafyeka tu kama vile hizo hela ni za kwao.
Naona angalau NMB,hao niliwakimbia Mapema sana
Poleni sana aisee. Huu upuuz hawawezi kufanya Swiss Credit, Swiss Bank, HSBC na Deutsch Bank nilipohifadhi mamia ya mamilion dollars.Hawa jamaa Ni wapuuzi Sana hii benk sio ya kuweka hela yako aiseee...
Kmmmk nimekukubali mwambaaPoleni sana aisee. Huu upuuz hawawezi kufanya Swiss Credit, Swiss Bank, HSBC na Deutsch Bank nilipohifadhi mamia ya mamilion dollars.
Mbona equity bank wako powa tuSasa mkuu nadhan kuna makato ya mwezi hukulipa. Ukija bank zingine utakoma mbona