maoni yangu.
Ukiona unashindwa kuanzisha baishara na kisingizio kinakuwa mtaji, ujue wewe siyo business material unless ubadilike. Usipobadilisha huo mtazamo endelea kutafuta ajira kwa nguvu zako zote, wewe ni employee material.
Ni maoni yangu, yanaweza yasiwe sawa.
Pili crdb ni kweli wana nepotism sana. Karibu kila mtu crdb either ana ndugu yake wa damu pale au mtu wa karibu. Hii inaanzia kwa charles kimei mwenyewe, mwanae wa kike yuko udsm pale na wa kiume alikuwa azikiwe.
Ndiyo maana kazi zao nyingi sana huwa hawatangazi kwenye magazeti. Crdb kazi ni kuitana tu, kazi zinatangazwa ndani kwa ndani watu wanaita ndugu zao. Hii ni hatari sana ukichukulia ile benki serikali ina hisa zake pale. Pia ile imekuwa public company baada ya hisa kuanza kuuzwa dse inatakiwa iache kuajiri kisanii sanii.
Huhitaji mtaji kuanzisha biashara! Unatakiwa tu kuwa na "idea" halafu financing itafuata. Ukiwa na idea ambayo ni nzuri na itakayoleta faida, wapo watu wengi tu wenye pesa wanatunza benki huku wakitozwa gharama za kuzitunza huko watawekeza! The issue here is are you ready to start your own business?! Starting a new business is both exciting and rewarding, but it is also full of challenges. Na kutokuwa na mtaji is one of the changamoto.
Kjiajiri kwa kuanzisha biashara inahitaji kwanza uwe na positive attitude na ujuzi wa kuanzisha biashara. This means being honest about a range of issues - your knowledge, your financial status and the personal qualities that you can bring to your new business. Commitment, drive, perseverance and support from family and friends will go a long way towards transforming your business idea into reality and will be especially important during the early days.
Inshort, mtaji sio big deal when it comes to staring business! Waulize all sucessful people in business hata hapa tanzania hawakuanza na mtaji! So mtaji should not be an excuse. Tatizo letu kubwa ni uvivu na uoga wa ku take risk. In fact mtu unaweza kutumia pesa zako ulizodunduliza ukiwa chuo (tatizo tunapokua chuo hatuweki akiba yeyote kwa sababu tunakuwa na ndoto za kupatan kazi mara tunapo graduate, hatufanyi vibarua wakati wa likizo na wale tunaofanya pesa tuitumia kurudisha heshima baa), waweza kopa benki (kisingizio kitakua hatuna colletrals lakini kama unaaminika huwezi kosa wazamini like family members), kupata mikopo rahisi toka kwa ndugu jamaa na marafiki (tatizo hatuna tabia ya kudevelop networks na wengi wa marafiki zetu ni watu wa hovyo hovyo tu wasio na msaada. lakini kama tukiwa na newtwork for example with seniors tuliowakuta chuo, by the time tunaingia mtaani wao wanakua somewhere so ni rahisi tuwa pertners). Twaweza pia ku attract investors kama ndugu jamaa na marafiki wenye pesa lakini hawana good ideas, pia kuna grants na misaada ya serkali na mshirika. kwa mfano recently kumekua na programmes pare UDSM Business School na COSTECH ambapo wanawasaidia wajasiriamali kuendeleza biashara zao!
Tutadai hawa wote wana undugunaization lakini je tumechukua hatua yeyote kujaribu! make hata wakikufanyuia mizengwe, mimi naamini siku moja utafanikiwa tu! si wote muwaonao waliofanikiwa wana godfathers and godmothers. Cha msingi ni deternination na kuacha kulalamika na badala yake kujaribu.
Vijana wengi wanaosoma colleges siku hizi wanajali starehe na show off,awasomi,matokeo yake awawezi ata kuandika barua au Cv ya kuombea kazi.akuna mwajiri anaetaka vyeti bila umakini kazini.kutokana na ushindani kwa sasa akuna benki inayoajiri kimeo eti ni mtoto wa bosi au anamjua mtu (uliza yaliomkuta viki kamata Benki kuu!) mtu umepata div 2 au 1 kwa pepa feki olevel na alevel,chuo unaishi kwa kucheat,unapata degree kiusanii,alafu unategemea kupata kazi nzuri. Haya ni maajabu yaliopo tu hapa tanzania na sio pengine katika dunia hii.
Vijana wengi wanaosoma colleges siku hizi wanajali starehe na show off,awasomi,matokeo yake awawezi ata kuandika barua au Cv ya kuombea kazi.akuna mwajiri anaetaka vyeti bila umakini kazini.kutokana na ushindani kwa sasa akuna benki inayoajiri kimeo eti ni mtoto wa bosi au anamjua mtu (uliza yaliomkuta viki kamata Benki kuu!) mtu umepata div 2 au 1 kwa pepa feki olevel na alevel,chuo unaishi kwa kucheat,unapata degree kiusanii,alafu unategemea kupata kazi nzuri. Haya ni maajabu yaliopo tu hapa tanzania na sio pengine katika dunia hii.
you are joking wright? unasema kuna watu wanapesa na kama una idea wanakupiga jeki bila ya kuona ni namna gani utaendesha biashara hiyo, bila kuona kama kwa muda gani umeendesha biashara yako hiyo, bila kuona ni vipi utaweza kurejesha pesa zao, wanakupa tu pesa? unachotakiwa ni kuwa na idea tu basi? well kama ni kweli basi ni kweli tanzania ni tambarare.
kwa wadau ambao mna fuatilia haya mambo ya ajira hawa jamaa wameajiri watu mwezi huu, lakini wameacha malalamiko mengi.
wadau wanauliza kwani walitumia vigezo gani? maana kama sifa wapo wenye sifa mpaka za ziada lakini hata kuitwa hawakuitwa,
wengi kati ya wanaolalamika ni wale waliofanya field hapo hapo crdb, na wengine baada ya kumaliza chuo walienda kujitolea kwenye branch za bank hiyo lakini cha kushangaza pamoja na kutuma maombi wameshangaa kuona kimya huku wakishuhudia wenzao wameajiriwa, huku wenyewe bado wanasugua bench.
udsm pale full ukabila......mfano mzuri ni ucc kuanzia lectures,wafagiaji,technician,wahasibu wote ni wahaya....ukienda pale kuomba hata dili la kundisha short course wanaangalia unatokea kabila gani.......you are joking wright? unasema kuna watu wanapesa na kama una idea wanakupiga jeki bila ya kuona ni namna gani utaendesha biashara hiyo, bila kuona kama kwa muda gani umeendesha biashara yako hiyo, bila kuona ni vipi utaweza kurejesha pesa zao, wanakupa tu pesa? unachotakiwa ni kuwa na idea tu basi? well kama ni kweli basi ni kweli tanzania ni tambarare.
pole sana ndugu nimesoma post yako vizuli sana.....ila usikate tamaa siku omba sana siku chadema wachukue nchii mambo yote haya yatakwishakwa wadau ambao mna fuatilia haya mambo ya ajira hawa jamaa wameajiri watu mwezi huu, lakini wameacha malalamiko mengi.
wadau wanauliza kwani walitumia vigezo gani? maana kama sifa wapo wenye sifa mpaka za ziada lakini hata kuitwa hawakuitwa,
wengi kati ya wanaolalamika ni wale waliofanya field hapo hapo crdb, na wengine baada ya kumaliza chuo walienda kujitolea kwenye branch za bank hiyo lakini cha kushangaza pamoja na kutuma maombi wameshangaa kuona kimya huku wakishuhudia wenzao wameajiriwa, huku wenyewe bado wanasugua bench.
Hata huduma zao ni ubabaishaji mtupu na sasa wameanza wizi wa kudokoa hela kwenye akaunti za wateja wao, wateja wa CRDB muwe macho na hela zenu mlizoweka kwenye akaunti zenuHii benki ni ya kifisadi, ndio iliyohusika kwa wizi wote wa fedha za EPA watu walipitishia huko. Hata ajira zinakuwa ni za kihuni kulinda mtandao wao wa wizi, favorites ni kabila la Kimei...
Hii bank itabidi ifilisiwe siku nchi yetu itakapokombolewa toka kwenye mfumo fisadi. Ushahidi wote upo na wanufaika kama akina Rajab Maranda wameishahukumiwa. Tuikatae hii bank wabongo
either u r so arrogant or ignorant. unafikiri kila mtz anayemaliza kusoma vyuoni ana mtaji?Freedom and success in Tanzania is determined by personal efforts, achana na kungoja ajira za kihuni, you have been to school not only to be employed, you can start your business.
ww mwanaume mzima unakaa unaleta majungu na ubea hapa jf, mm ni 1 ya walioajiriwa mwezi huo uliopita na sina ndugu wala sikuwa namjua m2 kabla ila uwezo wangu wa kujieleza ndani ya intrvw na vyeti vyangu ndo vimeniingiza na mm sio kabila la kimei. siku hizi ni kampuni nyingi sana haswa mabank huwa hawatangazi kazi ila wanaita wale ambao walipeleka barua. ww unasubirie kazi eeee? km unataka kazi lazima uchakarike na sio ukae km mwanamke anaesubiria kuolewa
]ww mwanaume mzima unakaa unaleta majungu na ubea hapa jf,mm ni 1 ya walioajiriwa mwezi huo uliopita[/B] na sina ndugu wala sikuwa namjua m2 kabla ila uwezo wangu wa kujieleza ndani ya intrvw na vyeti vyangu ndo vimeniingiza na mm sio kabila la kimei. siku hizi ni kampuni nyingi sana haswa mabank huwa hawatangazi kazi ila wanaita wale ambao walipeleka barua. ww unasubirie kazi eeee? km unataka kazi lazima uchakarike na sio ukae km mwanamke anaesubiria kuolewa
Freedom and success in Tanzania is determined by personal efforts, achana na kungoja ajira za kihuni, you have been to school not only to be employed, you can start your business.