Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,499
- 9,289
Kujeni Absa na StanbicWakuu hio bank kwa sasa haina Uwezo tena wakuhudumia wateja wake iko at Full, Haiwezi tena wala haiwezi kugrow tena Ukijichanganya ukaitegemea hii bank kwenye mambo ya kifedha utapaata Mkwamo hatari sana, Leo tangu Jioni mpaka muda hakuna mtandao wa Simbanking sio App wala Ussd, Ovyo kabisa, Hii bank Kwa User base iliyonayo sitaki kuamini kama Wanataka Kuiangusha Kesho ntachukua stiff decision nihamishe Vijisent vyangu
Mimi mbona nimetumia zaidi ya mara mbili na mzigo nimeamishaWakuu hio bank kwa sasa haina Uwezo tena wakuhudumia wateja wake iko at Full, Haiwezi tena wala haiwezi kugrow tena Ukijichanganya ukaitegemea hii bank kwenye mambo ya kifedha utapaata Mkwamo hatari sana, Leo tangu Jioni mpaka muda hakuna mtandao wa Simbanking sio App wala Ussd, Ovyo kabisa, Hii bank Kwa User base iliyonayo sitaki kuamini kama Wanataka Kuiangusha Kesho ntachukua stiff decision nihamishe Vijisent vyangu
SA ABSA;STANBIC,UK STANDARD CHARTERED,FRANCE BNP PARIBAS. Don't try with kenya=the same difficulties as tanza ian banks but they atleast managed to solve more difficulries than tz banksBenki za kutoka inje hasa S.A au Kenya vikoje?
Katika mambo huwa sielewi ni kwenda ATM na kukuta haina Pesa, saa 8 Mchana J3 au J4 ATM haina pesa, are u people serious? Mnakaa ofisi kufanya nini wakati kitu mnachotegemea kama source of fund hakifanyi kazi tena?, ATM ambayo ipo very potential location kama Soko la Samaki Ferry etc, unategemea mtawezaje ku exist in short/ long run? aisee CRDB mjirekebishe sana, mnakoelekea mtakuwa the most worse Bank in Tanzania!Wakuu hio bank kwa sasa haina Uwezo tena wakuhudumia wateja wake iko at Full, Haiwezi tena wala haiwezi kugrow tena Ukijichanganya ukaitegemea hii bank kwenye mambo ya kifedha utapaata Mkwamo hatari sana, Leo tangu Jioni mpaka muda hakuna mtandao wa Simbanking sio App wala Ussd, Ovyo kabisa, Hii bank Kwa User base iliyonayo sitaki kuamini kama Wanataka Kuiangusha Kesho ntachukua stiff decision nihamishe Vijisent vyangu