Haa Hayo Ndiyo 🦈 Shark SasaWanaboresha mitambo ili pesa za Mama Abdul na Afande Mkuu zikihamishwa msivujishiwe.
Sio Simbanking tu, ilikuwa hata ukiingia ndani ya bank wanasema hakuna mtandao.Leo Sim Banking imesumbua sana
Wanajua mitanzania imekalia udaku wa diamond kambato nani sio haki zao za msingi.Sio Simbanking tu, ilikuwa hata ukiingia ndani ya bank wanasema hakuna mtandao.
Na cha ajabu hakuna kauli yeyote toka kwa CRDB, kwao maisha yanaendelea kama kawaida.