CRDB mmezidi na mnakatisha tamaa

CRDB mmezidi na mnakatisha tamaa

Kilamunu

Member
Joined
Aug 25, 2021
Posts
97
Reaction score
246
Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.

Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata pia huku nje katika mashine zao za kutolea pesa(ATM). Kila mara wao wimbo ni mmoja tu.....mtandao uko chini ndio mana utowaji wa pesa katika ATM uko slow au haufanyiki.

Lakini ukienda ndani ya bank ukitaka kutoa kupitia App yao ya Mobile banking(nadhani wale wanao tumia hii huduma wanajua kwa sasa hii bank wamevumbua utaratibu kwamba Unaweza withdrawal) pale dirishaji kwa kwa teller kwa kupitia hiyo app yao) basi unakuta huduma inapatikana vizuri tu tena una toa fedha faster kupitia kwa teller wao pale dirishani.Sasa wao wanadhani sisi wateja hatujui janja yao lakini watu wamesha washtukia....

Nikwamba ....ikiwa mteja ata toa pesa kupitia ATM hata Laki Moja na nusu(150,000)au zaidi kidogo unakatwa 1800tsh tu.Lakini ukienda kutoa huko ndani laki Moja(100,000) tu unakatwa 5400tsh.Na ndio mana Kila mara wanasababidha utowaji wa pesa kupitia ATM uwe mzito Ili mteja akatoe kupitia hizo njia nyingine ambazo ni gharama kubwa na ni faida kubwa kwao.

Pia bila aibu wateja tukilalamika kuhusu huduma za ATM kusuasua wao wanaku-direct kwenda huko mitaani kwani wakala wao wapo. Kitu ambacho pia kutoa kupitia hao ni gharama pia.Hili jambo si la kufumbiwa macho na serikali.

Ni wizi wa makusudi.Crdb imekuwa bank ya kulalamikiwa kuliko kiasi kwa sasa.Jamani.mukitaka kujua makato ya kila kitu yakoje huko mnapokatwa jiungeni na Crdb mobile kisha ombeni ripoti ya mwezi mutumiwe kupitia e-mail zenu ntaona kila kitu.

Hii bank ina mambo ya ajabu sana.Kwa wale wa mishahara ya kwanzia milioni Moja kushuka chini kwakweli hii bank kwa wizi huu si rafiki tena. Na ndio mana Nmb bank imeshika hatam ghafla sana kutokana na kero za Crdb zisizo mithilika.
 
Kila munu avee na kwao !

Bank nchi hii ziko kibao,itakuwa ajabu kwamba unafanyiwa huruma za Kiduanzi na bado umeendelea kukomalia maumivu !

Pesa zako umetafuta Kwa jasho lako,umeshindwa kuzitunza ukaona uwapekee watu wakutunzie,bado tena kuchukua pesa yako ambayo ni halali yako unapitia mateso !

Wananchi wa nchi hii mnahitaji Reforms za akili !
 
Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata pia huku nje katika mashine zao za kutolea pesa(ATM).Kila mara wao wimbo ni mmoja tu.....mtandao uko chini ndio mana utowaji wa pesa katika ATM uko slow au haufanyiki.Lakini ukienda ndani ya bank ukitaka kutoa kupitia App yao ya Mobile banking(nadhani wale wanao tumia hii huduma wanajua kwa sasa hii bank wamevumbua utaratibu kwamba Unaweza withdrawal) pale dirishaji kwa kwa teller kwa kupitia hiyo app yao) basi unakuta huduma inapatikana vizuri tu tena una toa fedha faster kupitia kwa teller wao pale dirishani.Sasa wao wanadhani sisi wateja hatujui janja yao lakini watu wamesha washtukia....nikwamba ....ikiwa mteja ata toa pesa kupitia ATM hata Laki Moja na nusu(150,000)au zaidi kidogo unakatwa 1800tsh tu.Lakini ukienda kutoa huko ndani laki Moja(100,000) tu unakatwa 5400tsh.Na ndio mana Kila mara wanasababidha utowaji wa pesa kupitia ATM uwe mzito Ili mteja akatoe kupitia hizo njia nyingine ambazo ni gharama kubwa na ni faida kubwa kwao.Pia bila aibu wateja tukilalamika kuhusu huduma za ATM kusuasua wao wanaku-direct kwenda huko mitaani kwani wakala wao wapo.Kitu ambacho pia kutoa kupitia hao ni gharama pia.Hili jambo si la kufumbiwa macho na serikali.Ni wizi wa makusudi.Crdb imekuwa bank ya kulalamikiwa kuliko kiasi kwa sasa.Jamani.mukitaka kujua makato ya kila kitu yakoje huko mnapokatwa jiungeni na Crdb mobile kisha ombeni ripoti ya mwezi mutumiwe kupitia e-mail zenu ntaona kila kitu.Hii bank ina mambo ya ajabu sana.Kwa wale wa mishahara ya kwanzia milioni Moja kushuka chini kwakweli hii bank kwa wizi huu si rafiki tena.Na ndio mana Nmb bank imeshika hatam ghafla sana kutokana na wizi na kero za Crdb zisizo mithilika.Bank ya kiwizi sana hii.
NRNE
 
Alichokiongea ni kweli kabisa ilikuwa bank yenye kutoa huduma bora sana lakini hili swala liangaliwe na uongozi wa juu.si hivyo tu pia wizi au udokozi kwenye account za wateja umekuwa toi much
 
CRDB aliiweza Kimei pekeyake.. Kwakuwa ndio aliifufua wayback 1994 nadhani akaikuza akaijenga vema.. Pen fine succession plan yake haikuwa nzuri
 
Kimsingi makato ya CRDB sijawahi kuyaelewa na ndio sababu ya kuihama hiyo bank ukiangalia hata salio kupitia app yao wao wanakata ni tofauti na bank nyingine mfano NMB, Hivyo hivyo ukiangalia hata min-statment wao wanakata tofauti na bank nyingine mfano NMB,NBC.

Kiufupi CRDB ni njaa sana alafu wanavisheria vyao vya ajabu sana.
 
Naskia eti ni bank ya wachaga 😁
 
Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.

Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata pia huku nje katika mashine zao za kutolea pesa(ATM). Kila mara wao wimbo ni mmoja tu.....mtandao uko chini ndio mana utowaji wa pesa katika ATM uko slow au haufanyiki.

Lakini ukienda ndani ya bank ukitaka kutoa kupitia App yao ya Mobile banking(nadhani wale wanao tumia hii huduma wanajua kwa sasa hii bank wamevumbua utaratibu kwamba Unaweza withdrawal) pale dirishaji kwa kwa teller kwa kupitia hiyo app yao) basi unakuta huduma inapatikana vizuri tu tena una toa fedha faster kupitia kwa teller wao pale dirishani.Sasa wao wanadhani sisi wateja hatujui janja yao lakini watu wamesha washtukia....

Nikwamba ....ikiwa mteja ata toa pesa kupitia ATM hata Laki Moja na nusu(150,000)au zaidi kidogo unakatwa 1800tsh tu.Lakini ukienda kutoa huko ndani laki Moja(100,000) tu unakatwa 5400tsh.Na ndio mana Kila mara wanasababidha utowaji wa pesa kupitia ATM uwe mzito Ili mteja akatoe kupitia hizo njia nyingine ambazo ni gharama kubwa na ni faida kubwa kwao.

Pia bila aibu wateja tukilalamika kuhusu huduma za ATM kusuasua wao wanaku-direct kwenda huko mitaani kwani wakala wao wapo. Kitu ambacho pia kutoa kupitia hao ni gharama pia.Hili jambo si la kufumbiwa macho na serikali.

Ni wizi wa makusudi.Crdb imekuwa bank ya kulalamikiwa kuliko kiasi kwa sasa.Jamani.mukitaka kujua makato ya kila kitu yakoje huko mnapokatwa jiungeni na Crdb mobile kisha ombeni ripoti ya mwezi mutumiwe kupitia e-mail zenu ntaona kila kitu.

Hii bank ina mambo ya ajabu sana.Kwa wale wa mishahara ya kwanzia milioni Moja kushuka chini kwakweli hii bank kwa wizi huu si rafiki tena. Na ndio mana Nmb bank imeshika hatam ghafla sana kutokana na kero za Crdb zisizo mithilika.
Wamekuwa wezi Sana, mshahara ukiingia tu,wanazuia hu wezi kuhamisha kwenda mitandao ya simu kwa sim banking kutumia app yao, Ila ukienda kutoa kwa wakala, app in a fan ya kazi! Bongo tunapigwa Sana,
 
CRDB aliiweza Kimei pekeyake.. Kwakuwa ndio aliifufua wayback 1994 nadhani akaikuza akaijenga vema.. Pen fine succession plan yake haikuwa nzuri
Sahihi kabisa.Yani baada ya Mzee Kimei kuondoka matatizo yakaanza.
 
Uongozi wa hii bank unatakiwa kutega sikio na kuwasikiliza kina kimei a wafuate watachoshauriwa. Bila hivyoo bank itashuka sana na vibenk vidg dg vitaanza pendwa na wateja zaidi ya hii crdb
 
Pole sana,labda tujaribu Acces bank
ACCESS BANK SASA NI SELCOM JE HUKO KUNA UNAFUU??? me nimependa APP yao ya Selcom pesa, namna ilivyokisasa na jinsi unavyoweza jisajili papo hapo kwa fingerprint na NIDA na taarifa zako zinakuja chap
 
Back
Top Bottom