Weekend iliyopita nilitoa miamala miwili Kwa wakala yote ilikuwa haifiki mwisho nikaona ngoja nitafute ATM nipo njiani naona Sms za pesa kutolewa...kurudi Kwa wakala anasema kwake pesa haijaisha jasho likaanza kunitoka ..kuingia kwenye salio nimetoa laki nane ilikuwa kuvumbi ....nimekuja kupata hela yangu baada ya kutishia Sana mixer kumkaba wakala na kwenda naye benki CRDB hapana Kwa kweli.