CRDB Kuanza kutoza makato mapya

CRDB Kuanza kutoza makato mapya

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,291
Hili na tangazo lililopo kwenye ofisi zao. Makato hayo mapya yanaanza mwezi ujao.
attachment.php

 

Attachments

  • crdb1.jpg
    crdb1.jpg
    75.8 KB · Views: 287
Katika nini? Miamala ya kifedha? Au amana ya kulinda account? Au atm machine service na kadi?
 
Sio crdb tu ni mabank yote TRA wameongeza 10% kwa charges zoteza huduma za kibank zitolewazo na bank husika
 
Nadhani mtoa mada atakuwa anamaanisha hii kitu
 
hiii taarifa ni kwa wale watakatishaji fedha haramu inaonekana naona hata ajielewi
 
Baadae wakuu nitaenda kupiga picha tangazo ilo niwabadndikie.

Ni makato katika miamala, maintanance charges, service fees etc.

Kwa kifupi, ni pia yale makato yazamani yatakua juu kidogo, ila eti hayatawaumiza sana.
 
Back
Top Bottom