Sio crdb tu ni mabank yote TRA wameongeza 10% kwa charges zoteza huduma za kibank zitolewazo na bank husika
Baadae wakuu nitaenda kupiga picha tangazo ilo niwabadndikie.
Ni makato katika miamala, maintanance charges, service fees etc.
Kwa kifupi, ni pia yale makato yazamani yatakua juu kidogo, ila eti hayatawaumiza sana.
.. nyumbani kwangu nina kibubu kizuri, siweki pesa benki tena, kuepuka makato yasiyokuwa na tija kwangu.
"nitajitahidi muda wote' pesa yangu iwe kwenye mzunguko"