Siku ya tano sasa hakuna huduma yoyote CRDB Kasulu,wanadai network,muda huu wateja wamejaa na hawaelewi iweje waanze kukopa kwa watoza riba mitaani hela ya matumizi wakati wana hela yao kwenye akaunt.
Pia ni network ya aina gani hairudi kwa siku tano,kama kawaida watu wameanza kuvumisha kuwa kuna kitu ambacho kinafichwa chini ya pazia.
Wether tatizo ni by fault or default tunaaomba mrudishe huduma kwa wateja,