CRDB Jibuni email

CRDB Jibuni email

  • Thread starter Thread starter MC
  • Start date Start date

MC

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
762
Reaction score
190
Hivi inakuwa vipi Bank kubwa kama CRDB unawaandikia email lakini hawakujibu, they say it is the bank that listen but why not answering then???

Unbelievable;
 
Hata ile namba ya "emergency kwenye ATM huwa inaita bila kupokelewa. Wiki hii kuanzia jumatatu hadi alhamisi mchana ATM zao zilikuwa " Temporary closed" kwakweli nilichoka, na hela ni jasho langu.
 
Tuma customer-hotline@crdbbank.com watumie account no yako,jina na tatizo lako watakusaidia.au piga simu kwa 0714 197700 watakusaidia.account yao ya email ilikuwa katik matengenezo wiki iliyopita inaweza kuwa sababu ya kuchelewa kukurejea.
 
Sehemu nyingi Tanzania huwa hawajibu barua pepe za watu.

Mimi mwezi uliopita niliwaandikia watu wa uhamiaji lakini wala hawakusumbuka kunijibu.

Sasa sielewi hata kwa nini huwa wanaziweka anwani za barua pepe kwenye tovuti zao.

Ina maana huwa hakuna mtu anayesumbuka kuzifungua na kusoma au kuona kama kuna watu wamewasiliana nao kwa njia hiyo?

Ila kuna wakati niliwahi kuwaandikia barua pepe benki ya NBC na wakanijibu siku hiyo hiyo.

Nilishangaa sana.
 
Hakuna benki hapo acha longolongo eti akaunti ya email ilikua katika matengenezo!
 
Hata ile namba ya "emergency kwenye ATM huwa inaita bila kupokelewa. Wiki hii kuanzia jumatatu hadi alhamisi mchana ATM zao zilikuwa " Temporary closed" kwakweli nilichoka, na hela ni jasho langu.

Ni kweli, huwa natumia 'online service yao' kununua ticket, wameniharibia ratiba vibaya sana, email hawajibu, simu hawapatikani, ukiwapata hupati suluhisho la titizo lako moja kwa moja, na hii si mara moja, Bongo bado sana kwa kweli
 
Tuma customer-hotline@crdbbank.com watumie account no yako,jina na tatizo lako watakusaidia.au piga simu kwa 0714 197700 watakusaidia.account yao ya email ilikuwa katik matengenezo wiki iliyopita inaweza kuwa sababu ya kuchelewa kukurejea.

Thanks mkuu mimi88, nimekuelewa, Jana nimetumia masaa kadhaa kujaribu kupiga simu pamoja na namba hiyo uliyosema, baadae niliwapata, mwisho wa siku tatizo langu mpaka sasa halijatatuliwa, nimemwelewa aliyeniuliza kuwa 'kwan CRDB ni mama yako' nitachukua hatua,
 
Sehemu nyingi Tanzania huwa hawajibu barua pepe za watu.

Mimi mwezi uliopita niliwaandikia watu wa uhamiaji lakini wala hawakusumbuka kunijibu.

Sasa sielewi hata kwa nini huwa wanaziweka anwani za barua pepe kwenye tovuti zao.

Ina maana huwa hakuna mtu anayesumbuka kuzifungua na kusoma au kuona kama kuna watu wamewasiliana nao kwa njia hiyo?

Ila kuna wakati niliwahi kuwaandikia barua pepe benki ya NBC na wakanijibu siku hiyo hiyo.

Nilishangaa sana.

Mkuu NG,
Uko sahihi, customer care TZ ni zero; hawa CRDB wameniacha hoi, hii sio mara ya kwanza, wanajinadi kwa maneno matamu, they just should walk the talk, au wafute hizo email na slogan kibao, eti the Bank that listens, wamebwetek ndio maana KCB inakuja kwa speed. Wakati KCB inafanya vizuri bongo, CRDB hawajafikiria hata kufungua Matawi Kenya
 
Mnaomba kazi?

Siombi kazi mkuu, wao kama bank wanawajibika kwa customers, wanatakiwa kutimiza wajibu wao; kuhama bank sio solution, unapokumbana na tatizo ni bora kukabiliana nalo na sio kulikimbia,

Nimekuelewa anyway
 
Hayo matatizo ya kutojibu email hayapo tu CRDB ni sehemu/taasisi nyingi niliandika Email NSSF huu mwaka wa tatu hawajajibu na kila mwaka naulizia update lakini kimya.

✅Sijajua tatizo ni nini? kwa sasa Kuna smartphone,una configure email unazipata kwenye simu bila tatizo nashangaa hawafanyi hivyo.
 
Mkuu CRDB wazembe sasa hivi Tangu utaratibu mpya wa BOT uanze CRDB wanasababisha cheque nyingi ziwe dishoured bila sababu kwani hawa- confirm cheque zao zilizokuwa deposited kwenye bank nyingine kitengo cha BOT Banking supervision kinaombwa kuwasimamia hawa wenzetu kwani kiukweli tunawategemea katika issue za banking
Hivi inakuwa vipi Bank kubwa kama CRDB unawaandikia email lakini hawakujibu, they say it is the bank that listen but why not answering then???

Unbelievable;
 
Sehemu nyingi Tanzania huwa hawajibu barua pepe za watu.

Mimi mwezi uliopita niliwaandikia watu wa uhamiaji lakini wala hawakusumbuka kunijibu.

Sasa sielewi hata kwa nini huwa wanaziweka anwani za barua pepe kwenye tovuti zao.

Ina maana huwa hakuna mtu anayesumbuka kuzifungua na kusoma au kuona kama kuna watu wamewasiliana nao kwa njia hiyo?

Ila kuna wakati niliwahi kuwaandikia barua pepe benki ya NBC na wakanijibu siku hiyo hiyo.

Nilishangaa sana.

ni kweli hakuna benki wanaojibu email, kwa ufupi ofisi nyingi zile address ni mapaambo tu
 
Hayo matatizo ya kutojibu email hayapo tu CRDB ni sehemu/taasisi nyingi niliandika Email NSSF huu mwaka wa tatu hawajajibu na kila mwaka naulizia update lakini kimya.

✅Sijajua tatizo ni nini? kwa sasa Kuna smartphone,una configure email unazipata kwenye simu bila tatizo nashangaa hawafanyi hivyo.

He he hee, duh! miaka 3 mkuu bado una subiri tu, we mvumilivu kwa kweli
 
Back
Top Bottom