- Thread starter
- #21
Mkuu CRDB wazembe sasa hivi Tangu utaratibu mpya wa BOT uanze CRDB wanasababisha cheque nyingi ziwe dishoured bila sababu kwani hawa- confirm cheque zao zilizokuwa deposited kwenye bank nyingine kitengo cha BOT Banking supervision kinaombwa kuwasimamia hawa wenzetu kwani kiukweli tunawategemea katika issue za banking
Ni kweli, tunategemewa sana katika mazingira ya bongo, lakini wanatakiwa ku-improve. Kwa kiwango cha technologia ya sasa, na ushindani wa kibiashara hata kama huna jibu kwa swali au hoja iliyoletwa kwako lazima umtaarifu mtumaji kwamba ujumbe wako nimeupata nashughulikia, au ........., ina leta maana.